Akitaka afanikiwe aache na usanii wa kutaka kuonekana kuwa yeye ndiye kila kitu - yaani kama nyota wa kwenye sinema. Ajikite kwenye kujenga mifumo imara ya kiutendaji (strong governance structures) itakayomfanya aachane na huu utaratibu wa yeye binafsi kwenda kukamata mabasi yanayovunja sheria barabarani.
Je taasisi zilizo chini ya wizara yake zina bodi za wakurugenzi na watendaji wakuu? Je wizara yake ina watendaji waliothibitishwa kazini au ni walewale wa kukaimu? Kama hajatatua hili atapiga sana kelele lakini hakuna kitakachofanyika.