Dk Mwakyembe kurejea India kwa matibabu

huku ni kuliiingizia taifa hasara zisizo za lazima..kama alijua hajapona alikuwa anawashwa nini kurudi?akae huko huko hadi apone ndo arudi...tuna mambo mengi sana ya kujadili na ku deal nayo
 

labda unisaidie zinasemaje...he is incapacitated,kwa miezi yote hiyo hayupo kazini huoni kuwa nafasi yake ichukuliwe na mtu mwingine,kwanza yeye ni mbunge,atabaki na ubunge wake..tamaa ya maposho
alijifanya mkali kwenye richmond kumbe shida yake ilikuwa kupiga mkwara apewe unaibu waziri,.atuambie azimio gani kati ya yale aliyotaka serikali iyaazimie limeazimiwa?huoni kuwa huyu mroho tu wa vyeo na visasi personal na watu wengine..
 
let us pray for him and all foes behind his illness,our Almighty Lord will do the healing part regardless how much difficulty it is! AMEN.....wote semeni AMEN.....................
 
Tunakuombea kwa mungu akuzidishie wepesi na upone ila haya yote yanakutokea kwa sababu hakuweza kusema ukweli kwa Watanzania kama kuna mengi hebu tuambie walau ubaki huru katika moyo wako.
 
Unanikumbusha novel yako moja Mwakyembe ambayo naipenda sana, 'Pepo ya mabwege'.
Hivi katika siasa hakuna pepo ya mabwege kweli?
Nalifikiria sana hili!
alishasema watanzania si mabwege tena
 
Baada ya taarifa yake kwa umma leo hiihii,Naibu Waziri wa Ujenzi,Dr.Harrison Mwakyembe amesafiri leo tena kurejea nchini India kwa uchunguzi na matibabu zaidi.Lowassa,no CCM bwana...
 
Mwakyembe naye mnafiki tu. Anashindwa vipi kuweka mambo wazi? Hivi anaona uwaziri ni bora kuliko afya yake? Kweli ukiwa ccm na akili inadumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…