Borat69 JF-Expert Member Jun 17, 2012 2,522 1,757 Feb 5, 2016 #2 Hiyo Siri iliyoanikwa iko wapi sasa!? Huwa nachukizwa na nyinyi mnaopost magazeti humu.
Hoshea JF-Expert Member Jan 24, 2012 5,419 3,770 Feb 5, 2016 #3 Mods mnakubalije watu wanafanya advertisement
Chakochangu JF-Expert Member Mar 21, 2011 2,668 2,164 Feb 5, 2016 #4 Mleta mada rekebisha jina la Waziri hapo juu.