Dk Kikwete hujalitendea haki taifa langu

usimwingize Rais kwenye mambo yenu ya kitoto mwache afanye kazi yake utoto wenu fanyeni huko kwenye vibanda vya kuangalia sinema,

Nawewe ni mwizi nn!
 
Kwanini siku zote Kikwete anawahutubia wazee wa Dar Es Salaam tu? Kwanini siku nyingine asichague kuhutubia vijana wa chuo kikuu cha Dar? Au hata vijana wa mtaani hapa Dar?

Anaogopa kuzomewa,na kuulizwa maswali magum
 
Ungejua nguruwe ni mtamu ana usingesema hivyo. Hata mbwa ni kitoweo kizuri ana kwa wanyalukolo.

Ngoja waje wala mbwa na nguruwe wenzako wakujibu. Yesu alipowaita nguruwe na mbwa hakusema mliwe.

Jee, wewe nguruwe au mbwa? na jee, wewe unaliwa?
 
Fikra za utwana utazijuwa tu, mpaka mkemewe mpigiwe kelele kama mnavyokemewa na wachungaji wa Jangwani ndiyo mnaona mnaongozwa.

Amma kweli biblia haijakosea ilipomwita mkanaani Mbwa na nguruwe.

binadam ameumbwa kuutumia uso wake kufkisha ujumbe,kiketwe uSo wake pia umetua ujumbe kuwa huu wizi ni okay tu.na wew hapo ulippoishia kusema ndio uwezo wako wa kufkr ulippoishia.
Unashindwa kutnganisha dini na majadla uliopo hapa,wachungajj wametoka wappi tena?....kwa taarifa yko am rather a muslim nor christian...uskalili eewe mwenye uwezo uliojikunja wa kufkri
 
usimwingize Rais kwenye mambo yenu ya kitoto mwache afanye kazi yake utoto wenu fanyeni huko kwenye vibanda vya kuangalia sinema,

Alichofanya yy cha kikubea kipi?,kusingizia kohoz kumfkuza kaz wazri?,kumfkuza kaz alietumia na kumuacha mwizi?,lakin kuna watu bado mawazo na fkra zenu bado ni mkunjo yaani bado mnaamni rais ni mungu ati hawez kukosea,those are old views sawa.akiboronga tunampasha,kama unamsjud nenda hko
 
binadam ameumbwa kuutumia uso wake kufkisha ujumbe,kiketwe uSo wake pia umetua ujumbe kuwa huu wizi ni okay tu.na wew hapo ulippoishia kusema ndio uwezo wako wa kufkr ulippoishia.
Unashindwa kutnganisha dini na majadla uliopo hapa,wachungajj wametoka wappi tena?....kwa taarifa yko am rather a muslim nor christian...uskalili eewe mwenye uwezo uliojikunja wa kufkri

Unafikisha ujumbe kwa kutumia uso? hiyo fikra ni ya kijinga ambayo sijapata kuisikia, leo ndiyo mara ya kwanza na nnauhakika itakuwa ni mara ya mwisho.

Kipi ambacho hukukipenda kutoka Kikwete au uso wake tu?
 
Unafikisha ujumbe kwa kutumia uso? hiyo fikra ni ya kijinga ambayo sijapatta kuisikia, leo ndiyo mara ya kwanza na nnauhakika itakuwa ni mara ya mwisho.

Nina shaka na uwezo wa kuelewa kiswahili na zaidi huenda hujasoma vzr uzi huska,km vip pisha tu walioelewa watajua naongea nn
 
Unafikisha ujumbe kwa kutumia uso? hiyo fikra ni ya kijinga ambayo sijapatta kuisikia, leo ndiyo mara ya kwanza na nnauhakika itakuwa ni mara ya mwisho.

Kipi ambacho hukukipenda kutoka Kikwete au uso wake tu?

Na kma unahasira na jina ngurubhe bas toa shaka hiko ni kiluga chang neno ngurubhi(e) ina maana mungu sawa najua huenda unahssra na jna ukajua mm ngurubhe....
 
Ngoja waje wala mbwa na nguruwe wenzako wakujibu. Yesu alipowaita nguruwe na mbwa hakusema mliwe.

Jee, wewe nguruwe au mbwa? na jee, wewe unaliwa?

Usimshangae,ndio alichokiona ni maada hao ni hio ni ngurubhe na si nguruwe,but any way hapo ndo uwezo wake ulipoishia kuielewa mada jadiliwa
 
Ngoja waje wala mbwa na nguruwe wenzako wakujibu. Yesu alipowaita nguruwe na mbwa hakusema mliwe.

Jee, wewe nguruwe au mbwa? na jee, wewe unaliwa?

Hv mkiwa darasan mlikuwa mnamuelewa mwl kweli nyie,hiii mada mmeiotoa wappi?...ninaani hata mlvyokuwa shuke mwl alikuwa anawandkia OP,yaaani mlikuwa mnajadili tr badala ya kujbu maswaki huska
 
Naona unabwabwaja na kuhororoja.

Wew sio level yang na ninachoongea hapa watanielewa level yang tu!...ndio maana unaleta maada za dini wakati mim sjaleta uzi wa kiivo.
Kama unataka maada ya kiivi tengeneza uzi wa kiivo..

Kwa huu nipishe tu..
 
Naona unabwabwaja na kuhororoja.

Ungekuwa mwnfunz mwanafunzi wangu ningekuambia RUDIA KAZI YAKO.ILI UJIFUNZE KUJADILI MADA INAYOKUWA KUWA MEZAN SIO KULETA UNAYOWAZA WEWE NA KUYAWEKA MAHALA PASIPO HUO NI uchafu sawa.
Haya nipishe
 
binadam ameumbwa kuutumia uso wake kufkisha ujumbe,kiketwe uSo wake pia umetua ujumbe kuwa huu wizi ni okay tu.na wew hapo ulippoishia kusema ndio uwezo wako wa kufkr ulippoishia.
Unashindwa kutnganisha dini na majadla uliopo hapa,wachungajj wametoka wappi tena?....kwa taarifa yko am rather a muslim nor christian...uskalili eewe mwenye uwezo uliojikunja wa kufkri

Kwa wasio elewa kuhus micro expresion watashndwa elewa ulicho kisema, ila watu wamesahau kuwa more than 70% ya mawasilian hufanywa na mwili na si maneno.
 
Dah, hotuba zingine kujidhalilisha tuu...
Dream yake ya kuiongoza tz imeshatimia. Hakua na plan kwa taifa, alitaman sifa za uraisi tuu. Yametimia tayari.
 
Ungekuwa mwnfunz mwanafunzi wangu ningekuambia RUDIA KAZI YAKO.ILI UJIFUNZE KUJADILI MADA INAYOKUWA KUWA MEZAN SIO KULETA UNAYOWAZA WEWE NA KUYAWEKA MAHALA PASIPO HUO NI uchafu sawa.
Haya nipishe

Mwalim Ngurubhe, rekebisha makosa hayo, halafu rudi tena.
 
Fikra za utwana utazijuwa tu, mpaka mkemewe mpigiwe kelele kama mnavyokemewa na wachungaji wa Jangwani ndiyo mnaona mnaongozwa.

Amma kweli biblia haijakosea ilipomwita mkanaani Mbwa na nguruwe.

watu wa aina yko vyuo vikuu nchini china wamekuwa wakipgwa risas,sis tunajadili mada mhim za kitaifa wew unaleta miasha binafs hapa! .tunajadilli kasoro za hutoba ya rais wewe unaleta mada za nguruwe hujion mjinga sana wewe.?
Kama nguruwe ni kero kwako pisha,after all hii sio mada hapa.
Kama hujaipenda jifanye hujaiona...ujileta ujinga me mjinga zaid yko
 
Mwalim Ngurubhe, rekebisha makosa hayo, halafu rudi tena.

Naandika kwa hasra ungekuwa karbu ningekuzaba makofi.. eheee wee hunijui...nimebamiza sim nikjua utaskia...wewe unakera sana...kuleta ujinga kwenye mambo ya msing
 
watu wa aina yko vyuo vikuu nchini china wamekuwa wakipgwa risas,sis tunajadili mada mhim za kitaifa wew unaleta miasha binafs hapa! .tunajadilli kasoro za hutoba ya rais wewe unaleta mada za nguruwe hujion mjinga sana wewe.?
Kama nguruwe ni kero kwako pisha,after all hii sio mada hapa.
Kama hujaipenda jifanye hujaiona...ujileta ujinga me mjinga zaid yko

Naamini kuwa wewe ni mjinga, huna haja ya kunikumbusha hilo.

Jisome, kunywa maji, punguza ghadhab, rekebisha makosa yako kibao, niliyokuwekea nyekundu, urudi ukiwa timamu.
 
Back
Top Bottom