Dk Kikwete hujalitendea haki taifa langu

Mnayemtetetea siwashangai kwani mmekwisha kukata tamaa. Kama vyombo vya uchunguzi haviaminiwi hata na mamlaka ya Rais vivunjwe. Wote waliokwisha kuhukumiwa ama kushtakiwa kwa ripoti za vyombo kama TAKUKURU na CAG waachiliwe/ kesi zao zifutwe/ wafidiwe na waombwe radhi
 
Inawezekana mim nina madhaifu, kuwa sijawahi kumuona rais Kikwete ameonekana amekerwa au hata kuwa serious kukemea wizi hasa mkubwa kama huu uliotokea hivi karbuni. Sasa mimi huwa najiuliza labda kwa kuwa ni rais bas ana hela nying sana kias kuwa hela zinazopotea ni kidogo na hana machungu kabisa.

Hivi angekuwa Mwl Nyerere anahutubia jana taifa lingezizima hata watoto wadongo wangejua leo rais anaongea na wananchi.

Jana rais wangu hujalitendea haki taifa, kwanza ulionekana kutoa maamuzi kwa kuogopa, kusitasita utadhani na wewe umeiba hizo hela ,unaaingizia kikohozi kweli rais? Hvi ulijua kama dunia nzima walikuwa wanakufuatlia? Wewe unaongea na sisi utadhani tumekaa barazani tunapiga stori za mechi za nje?

Binafsi nilichukia sana, kwani nilitegemea kwa mda wote uliodai wajiandaa ili uongee na wananchi ulitakiwa kuja na majawabu yanayowasumbua wananchi hadi sasa! Ulikuwa unafanya nini ni almost siku 23 hadi jana toka ulipoahidi kuongea na kutoa maamuzi juu ya watuhumiwa.

Kwanza hotuba yako ilikuwa ni ya kawaida sana kama hakuna tatizo lolote ndani ya taifa!

Rais Kikwete, au ndio na wewe unajua ikoje? Ndio maana unaogopa kuwa mkali juu ya wizi kama huu? Au ndio unataka uondoke salama? Au ndio unataka kutupooza tu wananchi kwa kumtoa kafara mama Tibaijuka? Inawezekana huyu mama hajui chochote ndio maana mnamuengua hadharani!

Akina muhongo wanajua siri nzito ndo maana mnawaweka kipolo ili wasiwaumbue na nyie. Rais kama utapata nafas nyingne toa hutoba nyingne itakayojibu maswali juu ya mabilion ya fedha kwenye taifa lako, na kutoa mwanya wa uwajibikaji kuchukuwa nafas yake, sio kuongea kana kwamba na wewe ni mwizi hivyo unaogopa utakachoamua wezi watasema mbona na wewe rais tulikuwa pamoja!

Na haki unayoisema ichukuwe nafas sio kumuumiza mlaji unamuacha aliyepika chakuka chenye sumu.

Na swala la uchunguz kwa mambo ambayo yako wazi ni kuwaibia wananchi. Na serikali yako rais imetia fora kwa kuunda tume kisha hizo tume hata hazitusaidii. Kama unadhani nakuonea kuiponda hotuba yako njoo kitaa usikie..
Shetani hawezi kumukemea Ushetani.!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi tujiulize tu kwa hali ya kawaida - transaction za mabilioni zinafanyika within a day nchi na mamlaka yake imelala. Yaani hata Rais anawaogopa wateule wake!
 
Kwanini siku zote Kikwete anawahutubia wazee wa Dar Es Salaam tu? Kwanini siku nyingine asichague kuhutubia vijana wa chuo kikuu cha Dar? Au hata vijana wa mtaani hapa Dar?
 
Inawezekana mambo mengi anategemea uchambuzi na ushauri wa washauri wake ambao bila shaka yoyote mafisadi wameshawateka. Washauri wa wakiishatekwa means Rais naye keshatetwa. Kwa maana hiyo tunaye Rais anayefanya kazi kwa mashinikizo na vitisho na kwa msingi huo utakuwa uhaini. Mamlalaka ya Rais lazima yalindwe!
 
1.Nyerere,Mzee mchonga,Baba wa Taifa
2.Mwinyi,mzee Ruksa,baba wa Demokrasia
3.Mkapa,,???
4.JK,Le profeseri,msanii,pia jina la Zuma aliloitwa na Masabela naona linamfaa JK(thief and criminal)
 
Kwanini siku zote Kikwete anawahutubia wazee wa Dar Es Salaam tu? Kwanini siku nyingine asichague kuhutubia vijana wa chuo kikuu cha Dar? Au hata vijana wa mtaani hapa Dar?

Wazee wenyewe jana kawachanganya.Walikuwa na shauku ya kusikia zaidi lakini ye katumia masaa mengi kumwajibisha Tibaijuka
 
Kwa kauli na hali aliyokuwa nayo Mh. Rais Kikwete kuna uwezekano mkubwa kuwa:
1. Mamlaka tuliyompatia yalishapokwa na wezi waliomzunguka pale Ikulu.
2. Yeye mwenyewe, familia na hata wasaidizi wake wa karibu wanahusika na wizi huu
3. Rais alitishwa na genge lililomzunguka
4. Uwezo wake wa kuchambua mambo ni mdogo
5. Ni mwoga na pengine hajui hata wajibu wake kama Amri Jeshi Mkuu wa Nchi.
mbona hakusema barua iliyotoka ikulu kuamrisha BOT walipe?mbona hajasema mke wa Mbena Ikulu kuchota pesa stanbic?hizo pesa ndiyo kinana na nape wanazozurura nazo mtaani
 
Naunga mkono hoja jamaa hatutendei haki watz, inabidi watanzania tuchukue hatua.
 
Kwanini siku zote Kikwete anawahutubia wazee wa Dar Es Salaam tu? Kwanini siku nyingine asichague kuhutubia vijana wa chuo kikuu cha Dar? Au hata vijana wa mtaani hapa Dar?

Atarushiwa kiatu kama G W Bush
 
Miaka kumi sasa hii nchi hatuna rais,,,,tunaongozwa na bichwa maji..ile hotuba ya jana akawasomee wajuku zake na wanae ila co kwa wananchi wenye akili wa hili taifa la Tanganyika.
 
Daaaaaaaaaaaaaaaah wananchi mitaani wana hasira ni manung'uniko kila kona!! Kwa hili ki ukweli hapa Taifa hakuna!!! Tushazikwa tungali hai!!! Hii hotuba imetuvunja moyo wengi!!!! Hivi wananchi hatuwezi kuchukua maamuzi yoyote tunusuru nchi hii? R.I.P JK Nyerere!

Tatizo bado liko kwa wananchi.... jiulize tumechukua hatua gani kwa mambo yote tunayotendewa? muda huu sio wa kulalamika ni wa kufanya maamuzi., tujiandikishe kwa wingi na siku ya kupiga kura watu waende sio kulalamika tu maana system nzima kila mtu anafanya yake.
 
Kwa kauli na hali aliyokuwa nayo Mh. Rais Kikwete kuna uwezekano mkubwa kuwa:
1. Mamlaka tuliyompatia yalishapokwa na wezi waliomzunguka pale Ikulu.
2. Yeye mwenyewe, familia na hata wasaidizi wake wa karibu wanahusika na wizi huu
3. Rais alitishwa na genge lililomzunguka
4. Uwezo wake wa kuchambua mambo ni mdogo
5. Ni mwoga na pengine hajui hata wajibu wake kama Amri Jeshi Mkuu wa Nchi.

aliposikitisha zaidi ni pale aliposema kuwa wameongea na mama tiba... wamemuomba wateue mwingine... what a shame kama kiongozi kushindwa kufanya maamuzi hadi anegotiate na mhusika?
 
Fikra za utwana utazijuwa tu, mpaka mkemewe mpigiwe kelele kama mnavyokemewa na wachungaji wa Jangwani ndiyo mnaona mnaongozwa.

Amma kweli biblia haijakosea ilipomwita mkanaani Mbwa na nguruwe.
Ungejua nguruwe ni mtamu ana usingesema hivyo. Hata mbwa ni kitoweo kizuri ana kwa wanyalukolo.
 
Inawezekana mim nina madhaifu, kuwa sijawahi kumuona rais Kikwete ameonekana amekerwa au hata kuwa serious kukemea wizi hasa mkubwa kama huu uliotokea hivi karbuni. Sasa mimi huwa najiuliza labda kwa kuwa ni rais bas ana hela nying sana kias kuwa hela zinazopotea ni kidogo na hana machungu kabisa.

Hivi angekuwa Mwl Nyerere anahutubia jana taifa lingezizima hata watoto wadongo wangejua leo rais anaongea na wananchi.

Jana rais wangu hujalitendea haki taifa, kwanza ulionekana kutoa maamuzi kwa kuogopa, kusitasita utadhani na wewe umeiba hizo hela ,unaaingizia kikohozi kweli rais? Hvi ulijua kama dunia nzima walikuwa wanakufuatlia? Wewe unaongea na sisi utadhani tumekaa barazani tunapiga stori za mechi za nje?

Binafsi nilichukia sana, kwani nilitegemea kwa mda wote uliodai wajiandaa ili uongee na wananchi ulitakiwa kuja na majawabu yanayowasumbua wananchi hadi sasa! Ulikuwa unafanya nini ni almost siku 23 hadi jana toka ulipoahidi kuongea na kutoa maamuzi juu ya watuhumiwa.

Kwanza hotuba yako ilikuwa ni ya kawaida sana kama hakuna tatizo lolote ndani ya taifa!

Rais Kikwete, au ndio na wewe unajua ikoje? Ndio maana unaogopa kuwa mkali juu ya wizi kama huu? Au ndio unataka uondoke salama? Au ndio unataka kutupooza tu wananchi kwa kumtoa kafara mama Tibaijuka? Inawezekana huyu mama hajui chochote ndio maana mnamuengua hadharani!

Akina muhongo wanajua siri nzito ndo maana mnawaweka kipolo ili wasiwaumbue na nyie. Rais kama utapata nafas nyingne toa hutoba nyingne itakayojibu maswali juu ya mabilion ya fedha kwenye taifa lako, na kutoa mwanya wa uwajibikaji kuchukuwa nafas yake, sio kuongea kana kwamba na wewe ni mwizi hivyo unaogopa utakachoamua wezi watasema mbona na wewe rais tulikuwa pamoja!

Na haki unayoisema ichukuwe nafas sio kumuumiza mlaji unamuacha aliyepika chakuka chenye sumu.

Na swala la uchunguz kwa mambo ambayo yako wazi ni kuwaibia wananchi. Na serikali yako rais imetia fora kwa kuunda tume kisha hizo tume hata hazitusaidii. Kama unadhani nakuonea kuiponda hotuba yako njoo kitaa usikie..

Sorry narazimiaka ku-copy yote hapo juu ilinieleweke. Ulipompigia rais kura ambaye hakupimwa ktk midaharo mikubwa ya kitaifa na kimataifa ulifikiria nini kitatokea? Unaporagawiwa kuipigia kura ya ndiyo katiba ya Chenge unafikiri nini kitatokea kama si kuwa na viongozi wengine kama JK miaka 50 ijayo kwa hawamu 10?
 
Hivi tujiulize tu kwa hali ya kawaida - transaction za mabilioni zinafanyika within a day nchi na mamlaka yake imelala. Yaani hata Rais anawaogopa wateule wake!

Ana muogopa Singasinga ndiyo mwenye nchi sasa hivi.Akitoa amri mahakamani Mahakimu wote tumbo juu.Sasa kesha waambia watoe stop order hakuna kufanyia kazi maazimio ya Bunge na ndicho alichokifanya JK, kwa nini mumlaumu mtu aliyewekwa kwenye mfuko wa muwekezaji pamoja na serikali yake yote?
 
sijakuelewa au nina mawenge ya hotuba ya jana!. Naamini wewe ni mama wa familia. Unaileaje familia yako?. Hujawahi kumfokea mtoto akikosea yale uliyokwisha kumwelekeza mara nyingi?. Mwanao akituhumiwa wizi huwa unamchekea na kumpongeza na sio kumfokea kwa tabia zisizopendeza kwenye jamii?. Rais alitakiwa kuwafokea wote waliotuhumiwa kwa wizi ule na sio kuwachekea kama alivyofanya jana. Kama kufoka si kuongoza basi wewe na yeye ni bora wazazi kwani hamjui kulea. Unamchekea mwizi badala ya kumfokea!.
Kwanza ututake radhi kwa kutuita watwana na kama mkanaani ni wewe usiyejua kulea.

Huyo faiza usimfuate.. Humu jf tu anakuaga mkali kama pilipili kichaa halafu analeta za kuleta kwa rais kuchekacheka
 
Back
Top Bottom