Nakubaliana nawe lakini pia na yeye anatakiwa aangalie afya yake na si lazima apumzishwe anaweza pia kuomba kupumzika.Taabu ni kuwa marupupu na hadhi vinawaumiza wengi.Hivi muda wa kiongozi wa serikali, mfano waziri, kuruhusiwa kuwa on sick - leave ni muda gani? Au it remains kama discretion ya aliye mteua? Huyu ni mchumi mzuri sana, a Toronto PhD, na ile wizara ilimfaa sana. Lakini kama ni mgonjwa, apumzike tu kwani ile wizara ni kiungo muhimu sana cha uchumi wetu. Chami bado ana umri mdogo, akipata nafuu au kupona, atarudishwa tu kwenye baraza la mawaziri kwani wataalam wa aina yake miongoni mwa wabunge, sio wengi sana. Na pengine hii itampa nafasi Migiro kuwa waziri pale viwanda kwani kwa CV yake ya sasa, hawezi kupewa wizara ndogo ndogo, ni aidha Viwanda, Fedha au Foreign Affairs.
Linatakiwa kuwa wazi hata kuhusu Wabunge pia.
naunga mkono hoja... there must be a written law somewhere kuhusu utumishi na afya
Kwa ukubwa wa baraza letu la mawaziri, ni heri wapumzishwe lakini wasiteuliwe wa mbadala. Kama kipindi chote wanaumwa kazi ziliendelea kama kawaida, hii inathibitisha kutokuwepo kwao hakuna madhara yoyote. Kwa hali tuliyo nayo kiuchumi, kimefika sasa kipindi tupunguze gharama za kuendesha serikali kwa kupunguza wingi wa mawaziri tulio nao.
Kamanda viongozi wetu wengi afya mgogoro ndo maana wengi walikimbilia kwa babu Loliondo kupata kikombe
Hivi muda wa kiongozi wa serikali, mfano waziri, kuruhusiwa kuwa on sick - leave ni muda gani? Au it remains kama discretion ya aliye mteua? Huyu ni mchumi mzuri sana, a Toronto PhD, na ile wizara ilimfaa sana. Lakini kama ni mgonjwa, apumzike tu kwani ile wizara ni kiungo muhimu sana cha uchumi wetu. Chami bado ana umri mdogo, akipata nafuu au kupona, atarudishwa tu kwenye baraza la mawaziri kwani wataalam wa aina yake miongoni mwa wabunge, sio wengi sana. Na pengine hii itampa nafasi Migiro kuwa waziri pale viwanda kwani kwa CV yake ya sasa, hawezi kupewa wizara ndogo ndogo, ni aidha Viwanda, Fedha au Foreign Affairs.
Jana alionekana kwenye TV amechoka sana kama sio mtangazaji kumtaja huwezi kumtambua anahitaji bado kupumzika.
Nakubaliana nawe lakini pia na yeye anatakiwa aangalie afya yake na si lazima apumzishwe anaweza pia kuomba kupumzika.Taabu ni kuwa marupupu na hadhi vinawaumiza wengi.
Nimemuona TBC jana usiku kwa kweli he is sick!!
mkuu ilisaidia?
kama alikuwa na ngoma kwa muda mrefu na akaficha mpaka ikakomaa basi hata akianza hizo dozi sasa inawezekana zisimsaidie; he should be true to himself apumzike na kulinda afya yake na kuishi kwa matumaini!!
Maskini mbunge wangu! Nakuombea kwa Mungu upone ili uje utengeneze barabara yetu ya Kishumundu, imeharibika kishenzi lami yote imebanduka.