Kila nikikumbuka aliyoyafanya Nape huwa nacheka kwa dharau;
-Kujidai anashiriki kubugia wali "mandondo" kijijini na "wanyongwe" wakati wa kuki-exhume chama chao enzi zile,
-Kujidai anashiriki ujenzi wa majengo na "wanyongwe" wa maporini,
-Alivyojinasibu na bao la mkono kwa tambo huku asijue anayemsaidia awe "mtu" ni kiumbe gani,
-Alivyoingia kichwakichwa kuchunguza suala la Bashite kuutenda uhalifu na akapigwa rungu la pua bila huruma.Na aliposhtuka ili apige makelele akawekewa bastola utosini akanywea,
-Namna alivyoenda kuongea na wapiga kura jimboni mwake huku akitembea kifalme kwenye migongo ya akina mama lakini masaa machache akaambiwa aache ushambenga laa sivyo mkong'onto utaanza kwa mashangazi zake.
INATOSHA KUCHEKA TU!