Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,199
- 7,750
- Thread starter
- #21
Hapana haibebi mzigo, ni kwa ajili ya kupiga picha na kurekodi videos tu mkuuInaweza ikabeba ka mzigo kadogo dogo?
Hapana haibebi mzigo, ni kwa ajili ya kupiga picha na kurekodi videos tu mkuuInaweza ikabeba ka mzigo kadogo dogo?
•Asiliamia ya charge inaonesha kwenye screen hivyo unakua unaonaNina swali, nimeituma ipo km 1 far away ikaisha charge huko ilipo, itarudi au inaanguka hukohuko?
Hii unyama sana
AbsolutelyHii unyama sana
Ndio mkuu wanakimbiza sana kwenye Drones na vifaa vingine vya content creationDah Jana tu nimetoka kuona video ya hiyo kampuni ya DJI ipo china, ni kampuni bora zaidi ya drones
Sawa blohNdio mkuu wanakimbiza sana kwenye Drones na vifaa vingine vya content creation
Hapana ni kwa picha tu na videosInaweza kubeba mali?