Hivi DJ Bush baby aliendaga wapi?
\Wakuu,
Ni muda sijamsikia mkali DJ Steve B ambaye binafsi naamini baada ya kizazi cha akina DJ John Dilinga na DJ Bonilove hakuna anayemfikia.
Bongo tumekuwa na tatizo la DJs wanaojua muziki deep levels za mababa wa kupiga muziki Bongo yaani Dj JD na Bonilove. Lakini Steve B ni moja ya Djs ambao upigaji wake kama unajua muziki utajua anafahamu muziki.
Vipi Steve ameondoka CMG? Umri wake bado ulikuwa unamruhusu sana kuendelea na carrier yake kwa muda mrefu, kwanini amezimika kiasi hiki? Hana hata gig town!
Btw, leo clouds mmetisha sana na ubunifu wenu wa kuleta DJs tuliowamiss kitambo radioni, kuanzia number moja DJ JD a.k.a The Legend aliyetutoa jasho asubuhi kwa oldies, boogie Master na top Dj kwasasa Dj Mafuvu.
Sleve B.......wewe dio inafanya muji natishingika......huyu jamaa ahuwa namuelewa sana pia DJ VENTURE daaah!! Hawa jamaa enzi zao walikuwa poa sana bila kumsahau Mzungu wa Morogoro DJ JD,kuna mmoja tu pale Mawingu alikuja alikuwa wa hovyo sana anaitwa sijui DJ ARON daah huyu mshikaji hajui kabisa mziki yaani nasema hajui kabisa!!Steve B,...Wewee ndio unafanya mpaka muji unatingishika (Mr EBO Voice)
Kwenye Mabuzuki usimsahau DJ Ommy alikuwa Radio One mzee alikuwa poa sana huyu jamaa sijui yupi wapi huyu Mhenga daah!!Kiss fm ya mwanza nayo iliburuza sana dj malice. Huku magic unakutana na Majizzo hatari.
Lakini wote 9 ila 10 ni Dj Pinyee toka nairobera huyu kwenye mega mix na scratching ni hatari.
Much respect to Rankim RIP. DJ Habib, Ommy, Charles Mhamiji alias Mr. C Chalz alikuwa noma kwa vumbi la Kongo DRC mabuzuki.
Dogo mmoja wa mwenge Ibra mtoto wa DC mstaafu Ahmed Kipozi . Shout out kwa vijana wote wa mwenge ma dj mpaka akazaliwa dj PQ. Marehemu Eddy baunsa naye alikuwa fundi kwemye decks.
Kiboko yao alikuwa DJ MboweWakuu,