DJ NIGHT CLUB

DJ NIGHT CLUB

Deejayptz

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
64
Reaction score
19
Ni muajiriwa wa tv/radio station kampuni flani,napenda sana mziki nataka baada ya majukumu mengine nifanye kitu kingine nachokipenda ambocho naamini kipo kwenye damu yangu muda wote mpaka home nina home studio kwa ajili yangu ya kufanya mazoezi ya video mixing.natafuta kazi ya Night club kua Dj wa video mixing (DVJ) kwa Dsm unaweza kunicheck 0764 876 888 call/whatsapp
 
Big-up broh..
Kama unafanya kitu usichopenda unapoteza muda..
Pia ingia kitaa utafute hata ukipata pa bure fresh tu. Ilimradi uwe na furaha
 
Big-up broh..
Kama unafanya kitu usichopenda unapoteza muda..
Pia ingia kitaa utafute hata ukipata pa bure fresh tu. Ilimradi uwe na furaha
nimekuelewa kisome pia nilichokiandika ukielewe zaid.unaweza kua hata muajiriwa wa serikali labda WAZIRI WA KITU FLAN lakini mbali na ubunge unapenda KARATE pia inabd upate muda wa kufanya KARATE
 
Back
Top Bottom