DJ fety aacha kazi clauds

DJ fety aacha kazi clauds

manSniper

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
814
Reaction score
683
Kuna taarifa leo kuwa DJ fety ameacha kaz clauds FM kachoka unyonyaji wa ruge mtahaba
 

Attachments

  • 1442334360970.jpg
    1442334360970.jpg
    16.8 KB · Views: 699
Ni binti mzuri..hana roho mbaya kama b twelve..
b twelve ana roho mbaya sana..kuna mtu aliomba wimbo wa jide clouds b 12 alimjibu pumbavu... haka kajamaa ni kajima sana
 
Wanafanaya kazi kiujanja ujanja sn hawa jamaa...Kupe sn hawa
 
Good girl hapend ubwege kaona bora akafanye yakee ya maana sana mahali pengne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom