Unalipa temporary na hawa vijana wetu wa sasa wasipowekeza itawapa shida mapema. Huu udj wa kupiga kwenye ma bar tena hakuna kiingilio unaenda na trend, wakija wengine na vitu tofauti hupati tena gigs.U-DJ unalipa sana
Kumbe ana huo ushamba. 🚮hela zenyewe anagawa buku kumi kumi kiasi akitenga milioni moja ana zaidi ya clip 50 ambazo wewe na mimi tukitizama tunahisi ana fedha nyingi balaa
Aisee hawa jamaa ni Djz wakali sana, ni uchafu kuwafananisha na kina Dj Ommy crazy sijui DJ spurs i speak from exprience nimehudhuia gigs za kila mkoja hapo na nimesikiliza show zao kwenye radio/TV....jamaa wako tofauti sana kwenye vionjo, wanaujua muziki from the roots na kwa hakika hawa ndio wanauishi muziki na ndo maisha yao.Dj Peter Mo, Boniluv na JD
Unadhani Zote za Kwake Nae?Ukiwa na akili kama kina John Dilinga....
Share stil define the ownership!!Unadhani Zote za Kwake Nae?
nyie tena kwa ushauri sasa, mwacheni jamaa ndio time yake nae, msubirini afulie mmseme tenaUnalipa temporary na hawa vijana wetu wa sasa wasipowekeza itawapa shida mapema. Huu udj wa kupiga kwenye ma bar tena hakuna kiingilio unaenda na trend, wakija wengine na vitu tofauti hupati tena gigs.
Tatizo wengi wanapumbazwa na hizi weekly events za kwenye mabar wanasahau kuwekeza kwa fans. Ndio maana hawawezi kuandaa events zao zenye kiingilio ambazo ndio zitawapa fans wa kudumu.
Unafikiri Dj Peter Mo, Boniluv na JD wamezaje kutengeneza fans base hadi leo? Hao fans wao ni wale wale waliokula raha kwenye events zao kumbi mbalimbali. Wamekuwa na radio shows masaa ya kutosha kuonesha skills. Inabidi na hawa wa sasa warudishe hiyo influence itawasaidia baadae.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Aisee hawa jamaa ni Djz wakali sana, ni uchafu kuwafananisha na kina Dj Ommy crazy sijui DJ spurs i speak from exprience nimehudhuia gigs za kila mkoja hapo na nimesikiliza show zao kwenye radio/TV....jamaa wako tofauti sana kwenye vionjo, wanaujua muziki from the roots na kwa hakika hawa ndio wanauishi muziki na ndo maisha yao.
NakaziaSema huyu Dj anajiweka kwenye spotlight ambayo sio nzuri.
Kugawa hela barabarani hata kama unagawa elfu hamsini tu sidhani kama ni sawa, anajitaftia matatizo mwenyewe kwenye mambo ya Kodi na vingine. He should stop
alafu wakifatwa na TRA wanaanza kulialiaSema huyu Dj anajiweka kwenye spotlight ambayo sio nzuri.
Kugawa hela barabarani hata kama unagawa elfu hamsini tu sidhani kama ni sawa, anajitaftia matatizo mwenyewe kwenye mambo ya Kodi na vingine. He should stop
alafu wakifatwa na TRA wanaanza kulialia
Ova
Wenye hela wako kimyaHivi unafahamu kuna watu chimbo huko wana pesa na wako kimya kabisa, hawataki kufuatwafuatwa kifala na mamlaka lakini fuba lao tipper haibebi
[emoji16] Kwa Hiyo Humu Jf Wote Njaa KaliWenye hela wako kimya
Hata kwenye mitandao huwaoni
Ova