Dizzim itawafunika Wasafi TV

Dizzim itawafunika Wasafi TV

Dizzim tv itakuja kuifunika Wasafi. Wanapiga pini za maana sana. Hawa wasafi naona wanaanza kuharibu. Unapigaje nyimbo hata sio kiwango.

Wasafi angalieni bwana. Piga pini za maana msije potea kama ETV na singeli zao.
Hapo unamaanisha wasafi watamfunika wasafi, yani Eatv amfunike Itv.
 
Dizzim tv itakuja kuifunika Wasafi. Wanapiga pini za maana sana. Hawa wasafi naona wanaanza kuharibu. Unapigaje nyimbo hata sio kiwango.

Wasafi angalieni bwana. Piga pini za maana msije potea kama ETV na singeli zao.
mmiliki ni mmoja bro
 
Sky walker
Du kama ni kweli fred bundala ndie mmiliki basi kuna jambo kubwa la kukifunza vijana wanapaswa msikiliza sana kupata inspiration kutoka kwake maana kutoka ajiriwa sahara media akaja bongo 5 akajiriwa akaja na hii dizzm online na leo katake over kina vingi vya kujifunza kutoka kwake
 
Dizzim tv itakuja kuifunika Wasafi. Wanapiga pini za maana sana. Hawa wasafi naona wanaanza kuharibu. Unapigaje nyimbo hata sio kiwango.

Wasafi angalieni bwana. Piga pini za maana msije potea kama ETV na singeli zao.
Bro Mpaka Sasa Wasafi Tv Ishapotea!Sidhani Ka Watakuja Na Jipya!E Tv Ya Majizo Yenyewe Sioni Nini Wanafanya Mpaka Sasa!Clouds Nao Walikuja kwa Mbwebwe Sioni Nini Wanafanya Bora Nitazame Zangu ITV tu Mizengwe!Dizzim watafunika Sababu Toka Wakiwa Online Walikuwa Wabunifu!Wasafi Tv Siwaoni Kabisa
 
Hiyo tv toka niifaham navijua vipindi vitatu tu. Kile cha asubuhi cha Reuben Mchome, kuna ch jioni sijui street code na cha usiku cha Salam SK.
Ila muda wote naona miziki tu na logo za whatsapp onair.
 
Dizzim tv itakuja kuifunika Wasafi. Wanapiga pini za maana sana. Hawa wasafi naona wanaanza kuharibu. Unapigaje nyimbo hata sio kiwango.

Wasafi angalieni bwana. Piga pini za maana msije potea kama ETV na singeli zao.
Leta stats hapa
 
Hiyo tv toka niifaham navijua vipindi vitatu tu. Kile cha asubuhi cha Reuben Mchome, kuna ch jioni sijui street code na cha usiku cha Salam SK.
Ila muda wote naona miziki tu na logo za whatsapp onair.
Mimi hata kuiangalia sijawahi
 
Back
Top Bottom