arym JF-Expert Member Joined Feb 21, 2022 Posts 210 Reaction score 113 Jun 22, 2022 #21 namuona dizasta akija kuwa na jina kubwa sana kwani watu weng tulivyockiliza nyimbo zake tumekuwa ma ambasada wazur kwa wengne
namuona dizasta akija kuwa na jina kubwa sana kwani watu weng tulivyockiliza nyimbo zake tumekuwa ma ambasada wazur kwa wengne
arym JF-Expert Member Joined Feb 21, 2022 Posts 210 Reaction score 113 Jun 22, 2022 #22 sinza pazuri said: Dizasta ni mwana ngojera anaetumia midundo ya hiphop kuhadithia vitu mbalimbali. Vijana wengi wa sasa wametokea kuvutiwa na ngojera zake kiasi cha kujichanganya kudhani anafanya muziki wa rap. Kiuhalisia yupo genre moja na Mrisho Mpoto. Click to expand... kwahyo mwana ana imba ngonjera au cio mchaw huanza hvhv
sinza pazuri said: Dizasta ni mwana ngojera anaetumia midundo ya hiphop kuhadithia vitu mbalimbali. Vijana wengi wa sasa wametokea kuvutiwa na ngojera zake kiasi cha kujichanganya kudhani anafanya muziki wa rap. Kiuhalisia yupo genre moja na Mrisho Mpoto. Click to expand... kwahyo mwana ana imba ngonjera au cio mchaw huanza hvhv
arym JF-Expert Member Joined Feb 21, 2022 Posts 210 Reaction score 113 Jun 22, 2022 #23 Lycaon pictus said: Sizijui nyingi maana leo ndiyo namsikiliza. Nimeipenda Harder. Pia kuna Muscular Feminist, kaiandika kiakili sana. Click to expand... ukienda boomplay zinakuja songi 40+
Lycaon pictus said: Sizijui nyingi maana leo ndiyo namsikiliza. Nimeipenda Harder. Pia kuna Muscular Feminist, kaiandika kiakili sana. Click to expand... ukienda boomplay zinakuja songi 40+
arym JF-Expert Member Joined Feb 21, 2022 Posts 210 Reaction score 113 Jun 22, 2022 #24 Kasomi said: Dizasta Vina njoo utueleze wewe ni nani. Ila kwenye story telling Dizasta ni moto kuna mangoma yake ya Hatia 1,2,3 na 4 pamoja na kikaoni, ndoano, na freestyle mbalimbali jamaa ni mnoma Click to expand... siku mbaya na ile sista
Kasomi said: Dizasta Vina njoo utueleze wewe ni nani. Ila kwenye story telling Dizasta ni moto kuna mangoma yake ya Hatia 1,2,3 na 4 pamoja na kikaoni, ndoano, na freestyle mbalimbali jamaa ni mnoma Click to expand... siku mbaya na ile sista