[emoji3][emoji3]
Hata hivyo inahitaji ujasiri kuvimba na mke wa mtu na mmewe anajua hata kama alikimbia familia, uishie kuisikiliza tu ngoma sio ufanye wewe.
Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
Alipigwa maneno yenye fact, sema kwa uzunguni sawa sio bongo hapa watu wamevutugana kitambo.Aaah wake za watu utavunjwa kiuno[emoji28]
Lkn jamaa alikuja na panga kene kikao alipewa madini na black maradona mpk akashindwa kulitumia..hahaaa
Angalia rafiki zangu, kisha linganisha na rafiki zako
Hasa ambao wanaomzunguka binti yangu
Huwa nawaza wanachomfundisha ni nini?
Zaidi ya umbea kunywa pombe na kupiga vimini.
Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
Kuna mstari anamwambia mke wake kua rafiki yake alishawahi mtongoza halafu anataja kabisa kua huyo rafiki yake mkewe ana tattoo kwenye paja ina maana alikula rafiki wa mkewe?.Walishasema wanazuoni…ashakum si matusi…
Si matusi mke wangu, walishasema
Nyuma ya mwanaume masikini kuna
Mwanamke mpumbavu
Pesa tulizopoteza sio kinachoniuma
Pesa zipo na zinatafutwa
Sio gari, sio nyumba kinachoniuma
Umenipotezea time na siwezi kuurudisha muda
Umeiweka kweli sababu ya maisha ya ndoto
Umekumbatia uongo unaishi kama mtoto na
Umekua umefungua milango ya kejeli
Elimu ya jando na unyago zimefeli
Rudi nyumbani kapumzike
Rudi nyumbani kapumzike
Rudi nyumbani kapumzike
Ukishabadilika utarudi
Aaah hii ngoma tamu[emoji91][emoji91][emoji91]
Alipigwa maneno yenye fact, sema kwa uzunguni sawa sio bongo hapa watu wamevutugana kitambo.
Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
Kuna mstari anamwambia mke wake kua rafiki yake alishawahi mtongoza halafu anataja kabisa kua huyo rafiki yake mkewe ana tattoo kwenye paja ina maana alikula rafiki wa mkewe?.
Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
Mpeni huu mstari aatungie verse utoe ngoma auelezee mwanzo mpaka mwisho
VIZAZI HAVIFANANI
Lyrical master yoyote ufukua kilichomo ndani ya mzizi wa neno na kuleta tofauti ya kile watu walidhani anamaanisha kumbe sicho alichomaanisha
Hii Ni hatia 1 mkuu. Jamaa anajua Sana.Hatia series tuko episode ya 5 sasa [emoji28]
Sijui we unasikiza ipi mkuu
Last 2 week imetoka Hatia V kali sanaa imegusia afya ya akili hasa mambo ambayo wanaume wanapitia
Iwe hivyo maana jamaa anafikilia sana mistari yake sema bongo wengi wamelala.Kuna pini linaitwa “ALMASI”
Ile ngoma kuna siku ita trend tu niamini mimi
Najua sio miaka hii lakini ipo siku
Inaweza kuchukua miaka 20 au 30 lkn ipo siku[emoji2365]
Kwamba hakumla hapana aisee, kwa alivoficha vile hakutaka apigwe mawe tu kua nae kapita na rafiki wa mkeweDaah umewaza mbaali[emoji23]
Hakumla maana alishasema ameoa amefunga mageti yake lkn bado chanzo ni mkewe kwanini ahadithie ukubwa wa nyeti zake
Jasiri John,akamfata demu wake US,akakutana na Chuma. Rip jasiri.Ni kweli anajua sana na beat zake zmetulia
Ukiwa unasikiza kuna feeling unapata kama movie
Ila HATIA-IV is best of all ..alale pema Jasiri John
Tumwite fara john mzee [emoji3][emoji3], sema john angesikiliza hata hatia II yasingemkuta ya ughaibuni.Ni kweli anajua sana na beat zake zmetulia
Ukiwa unasikiza kuna feeling unapata kama movie
Ila HATIA-IV is best of all ..alale pema Jasiri John
Tumwite fara john mzee [emoji3][emoji3], sema john angesikiliza hata hatia II yasingemkuta ya ughaibuni.
Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
Akafwata tunda lake ughaibuni kwa nauli ya michango ya harusi. [emoji3]Alisepa na michango yetu ya harusi ni tapeli john[emoji23]
Nimesikiliza Hatia III jamaa anaenda off beat yaan hata Azma anamfunika mnamuover rate sana ndio maana hatoboi, wapi Kontawa? Hadi wamama wa kitaa wanaiimba Champion, mwambieni aendelee kukaza alafu anate na beat sio anatokatoka nje ya beatNaona Mtu anaandika na kujijibu