Hujui giza hujui baridi, au mbu walio nighasi wakati nakusubiri
Confession of a mad man.Ni kweli Jamii imejaa sana ujinga that’s the reason why he’s not famous..!!View attachment 2474009
Edger Vicent Mwaipeta (born February 17, 1993), known to one and all as Dizasta Vina, is a hip-hop musician from Mbeya, Tanzania.
He is known for his unique rhyme schemes and unparalleled storytelling.
His style transforms rap into philosophically viable poetry, delivering thought-provoking verses.
Dizasta Vina has managed to continuously issue hit after hit while maintaining a cult-like fan following that has fuelled the rapid rise of both his music and his reputation.
Kwa muda mrefu sana nmekuwa namfuatilia Dizasta toka enzi za Tamaduni,ni mmoja ya ma rapper bora zaidi kuwahi kutokea hapa bongo,uandishi wake na uwezo wa kufikiri umenifanya isipite siku bila kumsikiliza
Tayari anazo album/mixtape kadhaa sokoni
1.The wonder kid
2.The Verteller
Moja yaa ubunifu wake ni kutoa nyimbo zenye mwendelezo yaani kama movie series
-HATIA (1-5)
-No body is safe (1-4)
-Confession (mad son,mad teacher,mad philosopher)
Kama hujapata muda wa kumsikiliza huyu jamaa ebu pita YouTube sikiliza hizo ngoma kuna kitu utapata!
The verteller ni moja ya album bora kwangu 2020
Kama unamkubali dizasta Vina dodosha punchlines
Ambayo unaikubali kutoka kene ngoma zake..!
Confession of a mad man.View attachment 2474033View attachment 2474034View attachment 2474035View attachment 2474037View attachment 2474036
Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3]Ebwaana umeuaa…[emoji28][emoji1477][emoji1477]
Una file karibu zote za dizasta
Nmeona mpka “kikaoni”
Ile ngoma nlikuwa naisikiza enzi niko chuo
Ngoma ina madini sanaa unaeza tengeza movie kbs
Kama kuna mtu hajasikiza “kikaoni” your missing some dizasta pieces
Najua we' ni mrembo na machoni unapendeza
Ila una haraka na kwenda na kasi yako sitaweza
Umeanza kuigeza jinai
Eti nipate nguvu unanilisha pweza na chai
Haujui habari ulizosoma zimewekwa masilahi.
Umeshika simu sana mpaka umenipoteza walahi
Ukiona mashati mabuti unapagawa
Na miili ya movie ambayo wame-boost na madawa
Unataka niache kazi na mimi nishinde gym niji-boost
Eti niwe kama Jux unanigawa
Ushanitia nuksi tangu zama
Tungeweka kifusi cha mchanga ukachagua harusi ya kisasa
Ulilia machozi nikavunga nikakusikiliza
Mpaka sasa tunaishi kwenye nyumba ya kupanga
Kisa unasema dunia tunapita, mpango gani huu
Ndani hatuna hata akiba ya pesa ni vidani tu
Sitasahau siku madeni ya harusi bado sijalipa
Ukalazimisha tukope ili twende honeymoon
Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
Humo mshua alizingua kujipiga shaba tu kwenye hatia V.Hatia series tuko episode ya 5 sasa [emoji28]
Sijui we unasikiza ipi mkuu
Last 2 week imetoka Hatia V kali sanaa imegusia afya ya akili hasa mambo ambayo wanaume wanapitia
Angalia rafiki zangu, kisha linganisha na rafiki zakoHuu upendo unaniliza ah!
Huu mwendo umenishinda
Nimepaka rangi upepo nimekupenda wewe
Wakati unapenda urembo kupitiliza
Nimegundua hii hujuma sitanyamaza
Mpaka sipeleki tena huduma tena kwa maza
Baada ya miaka kadhaa ya kwenye nimegundua
Huu upendo wangu unanilemaza