Dizaini mpya ya hijabu!

Hivi ni haka katambara ndo kanawatoa povu ndugu zetu hawa??
 
asante kwa kuwaelewesha vizuri, nadhani wamekupata
 

Mr. Toyo amini Bakwata ni wababaishaji sana, hivi wanazuoni wote wa Bakwata wameshindwa kutofautisha USHUNGI na HIJABU! Ni muujiza kabisa, halafu suala la yeye kukamatwa halihusiani kabisa na dini yake ila ninachokiona ni unyanyasi wa kinjisia ambao unaweza kujengewa hoja na si vinginevyo!
 
Siwezi kutoa rai yoyote hapa. Sijapata maelezo kamili. Huyu mwanamke ni mkuu wa wilaya ya igunga. Na huyo jamaa aliemshika mkono na hao wengine walomzunguka ni nani ? Huyu mama kafanya kosa lipi hata afanyiwe hivyo. Sababu pia tukumbuke huyu ni mkuu wa wilaya si kitu cha kawaida kuwa anigiliwe na kuburuzwa bila watu kuambiwa nini alifanya huyu mama kustahili hayo.
 
Hizi jazba za kijinga zitatuangamiza watanzania. Mbona tuchanganya sana dini kuiingiza kusikopaswa, mwisho dini zetu zitadharauriwa sasa!
 
Looh jamani watu ni waongo sipati picha. Yaani hiyo ndio hijabu aliyovuliwa dc mama dc wee! Sasa hicho si kitambaa tu alikuwa ameegeshea kichwani! Penye vurugu si lazima kingeteleza tuu. Masheikh muogopen allah huyo mama alikuwa kavaa tuu mtandio ambao hata upepo ungeweza kuuosongeza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…