Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Diwani wa kata ya Liwiti (Tabata) afunga Moja ya kiwanda BUBU cha kutengeneza Magodoro kilichopo kwenye makazi ya wananchi ndani ya Kata ya Liwiti...
Baada ya uvamizi wa kukagua maeneo yanayosadikika kuwapo na VIWANDA BUBU alibaini kuWaPo kwa kiwanda hicho ambacho pia amekuta ndani shughuli mbalimbali kama ukusanyaji wa pembe za wanyama mbali mbali kama vile za nyati na ngombe...
Kiwanda hicho kina milikiwa na wachina ambao Wapo katikati ya makazi ya watu ndani ya mtaa wa Liwiti ndani ya kata hiyo...