Belight Technology
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 583
- 129
soure ya hiyo kiyu na Evidence.
Sababu ni zipi za kujiuzulu mzee.
Anawaanda watu ki saikolojia kama tiss walivyoanza kwa Mwakyembe waone reaction ya watu itakuwaje.
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu
vipi mbona kimya hadi usiku huu thibitisha basi ehhndiyo maana ya tetesi. Mimi nipo hapa tengeru nitazifuatilia hizo tetesi kisha nitawajuza. Kama nikweli nijue nasababu gani zimefanya ajiuzulu i mean i will give you full story.
Ngoja niwahi
wilaya ya arumeru ina halmashauri mbili.moja ni meru district council na nyingine ni arusha district council.jimbo la arumeru mashariki liko meru dc wakati jimbo la arumeru magharibi liko arusha dc.natumaini umeelewa sasa.Mkuu nimepita Meru miaka mingi ilopita. Niwekee kumbukumbu zangu vema: Hivi Wilaya ni Arumeru Mashariki au Meru (yenye Majimbo 2 ya Uchaguzi Arumeru Mashariki na Arumeru Magharibi), na Kata Hii ni Nkwarua au Nkoranga?
Bado kidogo MKUU! Yaani, Meru District Council na Arusha District Council viko Wilaya ya Arumeru? Na vipi Wilaya ya Arusha Mjini, ina Halimashauri ya JIJI la Arusha? Nilipata kusikia kuwa inaungana na Arusha Distict Council, Je, ndio hii ya Arumeru? Niweke sawa Mkuu!wilaya ya arumeru ina halmashauri mbili.moja ni meru district council na nyingine ni arusha district council.jimbo la arumeru mashariki liko meru dc wakati jimbo la arumeru magharibi liko arusha dc.natumaini umeelewa sasa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu
Kuna Arusha municipal council, Arumeru mashariki na Arumeru magharibi, na changes ni;Manispaa inakua halmashauri ya jiji, Arumeru magharibi inakuwa wilaya ya Arusha vijijini na Arumeru mashariki itajulikana kama wilaya ya Meru.Bado kidogo MKUU! Yaani, Meru District Council na Arusha District Council viko Wilaya ya Arumeru? Na vipi Wilaya ya Arusha Mjini, ina Halimashauri ya JIJI la Arusha? Nilipata kusikia kuwa inaungana na Arusha Distict Council, Je, ndio hii ya Arumeru? Niweke sawa Mkuu!