mkirua vunjo
Member
- Nov 11, 2011
- 25
- 5
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu
Naamini ni mtu patriotic and visionary ndio maana kawakimbia magamba.Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu
Thibitisha mkuu ili tuanze kusheherekea
thibitisha mkuu!
CCM wana mbinu nyingi wanaweza kuanzisha kitu cha uongo halafu kesho anatokea Mwigulu anasema CDM wamemsingizia diwani kujiuzulu na hiyo chapchap inadakwa na Jamba leo na TBC1. Sikatai inaweza kuwa kweli lakini athibitishe.Ya kweli mkuuu???!!!
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu
Noor Hassan PIGO KWA CCM:
1
Aikarua Benson Silaa People !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!about an hour ago · Like
Henry Kilewo lazima wakaee hawo mabweraabout an hour ago · Like
Jullitto Sam Mengi amen ...GOD show themabout an hour ago · Like
Khalfan Zozi Nimeipenda hii!about an hour ago via mobile · Like
Hosiana Sumari Hahahaha! Watajiuzulu wengine hapo bado. Peopleeeez powerabout an hour ago via mobile · Likeabout an hour ago
- 2 people like this.
Noor Hassan PIGO KWA CCM:
DIWANI WA KATA YA NKWARUA ,WILAYA YA ARUMERU MASHARIKI ,EMANUEL LANGAELI ,
AJIUZULUabout an hour ago via mobile · Like ·1
Aikarua Benson Silaa People !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!about an hour ago · Like
Henry Kilewo lazima wakaee hawo mabweraabout an hour ago · Like
Jullitto Sam Mengi amen ...GOD show themabout an hour ago · Like
Khalfan Zozi Nimeipenda hii!about an hour ago via mobile · Like
Hosiana Sumari Hahahaha! Watajiuzulu wengine hapo bado. Peopleeeez powerabout an hour ago via mobile · Like
Write a comment...
itakuwa tetesi tu
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu
Anawaanda watu ki saikolojia kama tiss walivyoanza kwa Mwakyembe waone reaction ya watu itakuwaje.source of your information?
Halafu inaonekana wewe una akili kama ya Mrema wa Kiraracha. unatoa taarifa nusu nusu we vipi mkuu?