imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,041
Ndio mnakokimbilia..mimi nasema hiyo habari yako ni ya UONGO!Mbona unakimbilia kwenye vitisho, kuna wanyonge wanadhulumiwa haki zao huko fuatilia uwatetee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mnakokimbilia..mimi nasema hiyo habari yako ni ya UONGO!Mbona unakimbilia kwenye vitisho, kuna wanyonge wanadhulumiwa haki zao huko fuatilia uwatetee
Sent using Jamii Forums mobile app
007Nipe namba zako ili niwapigie waandishi wa habari waje uwape kinagaubaga kilichotokea..
Nipe namba za Dotto Masawani.Muulize Dotto Masawani, mimi kwanza zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari hatujuani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unasita dogo.au nimtag Yericko Nyerere aje hapo ili atuthibilishie wana Jf?!
Itakua vizuri piaMbona unasita dogo.au nimtag Yericko Nyerere aje hapo ili atuthibilishie wana Jf?!
Mambosasa ni member?!..dogo chunga.naona unaingia kwenye minefield bila ya kujitambua.
Wamasai waliotumia masime kufurusha wakulima wa mboga mboga baadhi yao hao hapo wakiwa kwenye eneo la tukioMambosasa ni member?!..dogo chunga.naona unaingia kwenye minefield.
Hawa unaweza kuwapiga picha popote wapo,tupigie picha ya Kontena katika eneo la tukio.Wamasai waliotumia masime kufurusha wakulima wa mboga mboga baadhi yao hao hapo wakiwa kwenye eneo la tukio View attachment 849196
Sent using Jamii Forums mobile app
Na makontena yapo popote mkuuHawa unaweza kuwapiga picha popote wapo,tupigie picha ya Kontena katika eneo la tukio.
Kuwa Smart, kamera angle yako inatakiwa iwachukue wamasai na sime zao mkononi, halafu kontena liwe kwenye background.
Mkuu naona unakebehi taarifa za wanyonge kudhulumiwaAnyway.., waandishi wa Tanzanite wako njiani, niambie uko mtaa gani?!
Haya Mbowe yuko njiani basi...umefurahi sasa?!
Naanza kuamini na wewe ni member wa hili genge linalofanya hii dhulma.Mtaarifu MambosasaHaya Mbowe yuko njiani basi...umefurahi sasa?!