Nanyaro si uje hapa useme neno? Au umehamia kenya?
wakuu
Kimsingi mimi nilipinga kufanya aina hii ya muafaka na huu ndio msimamo wangu,kuwa sikubali muafaka wa kugawana vyeo
Nashukuru sana mimi Kama mto mada hii nilikuwa siamini kabisa kwambawakuuNi kweli muafaka ulifikiwa,na katika hatua za mwanzoni za mchakato nilikuwa mmoja wa wajumbe,nikiwakilisha mkoa,ila hatukufikia hitimisho,na mchakato ulikuwa unaendelea,Kimsingi mimi nilipinga kufanya aina hii ya muafaka na huu ndio msimamo wangu,kuwa sikubali muafaka wa kugawana vyeo
Unashukuru nini wewe! Usituletee sinema ya kihindi, eti tumemalizana na wewenashukuru, hapa tumemalizana na wewe, kila diwani ni lazima aje atoe ufafanuzi yeye mwenyewe hatuhitaji mwakilishi
Mlifikia muafaka kabla ya kufikia hitimisho?How does that work?wakuu
Ni kweli muafaka ulifikiwa,na katika hatua za mwanzoni za mchakato nilikuwa mmoja wa wajumbe,nikiwakilisha mkoa,ila hatukufikia hitimisho,na mchakato ulikuwa unaendelea,
Kimsingi mimi nilipinga kufanya aina hii ya muafaka na huu ndio msimamo wangu,kuwa sikubali muafaka wa kugawana vyeo
Nashukuru sana mimi Kama mto mada hii nilikuwa siamini kabisa kwamba umeshiriki kwenye muafaka wenye utata mimi nakufahamu mpambanaji mzuri katika kuutafuta ukombozi Wa nchi hii kutoka mikononi mwa magamba yasiovulika japokuwa wanajaribu kujivua lakini ngumu, Bado Diwani Bayo sijajua msimamo wake. Hongera Nanyaro Ephata kwa kuturidhisha sisi wanachadema Arusha.wakuuNi kweli muafaka ulifikiwa,na katika hatua za mwanzoni za mchakato nilikuwa mmoja wa wajumbe,nikiwakilisha mkoa,ila hatukufikia hitimisho,na mchakato ulikuwa unaendelea,Kimsingi mimi nilipinga kufanya aina hii ya muafaka na huu ndio msimamo wangu,kuwa sikubali muafaka wa kugawana vyeo
Huyu Diwani ni mpiganaji ila Kama kweli walirubuniwa wakaingia kwenye mtego wa kupokea chochote toka kwa wanamagamba mpaka kumtambua meya Wa Arusha sijaelewa ni kwa nini walimgeuka mheshimiwa Lema? Sisi wapenzi Wa chadema Arusha hatukutegemea kutokea kitu Kama hicho tunaomba tu wawe wazi kurekebisha hui utata.