jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
KUMEKUCHA ARUMERU DIWANI WA TATU ATIMKA CHADEMA
Katika hali ambayo imezua taharuki katika wilaya ya Arumeru ni leo ijumaa 12/07/2019 ambapo madiwani wa Tatu ndani ya siku mbili kuondoka Chadema na kujivua nafasi zake zote ikiwemo udiwani na kujiunga na chama cha mapinduzi CCM
Alieondoka wa tatu ni Ndugu Lothi ole Mungaya diwani kata ya ilkiding’a Halmashauri ya Arusha Dc Wilaya ya Arumeru ambae amejiunga ccm kwa kuunga mkono jitihada za Mhe, Rais, Dkt. John Pombe Magufuli
Kwa hali hii sasa chama cha Mapinduzi kimefikisha kata 16 , wakati chama cha chadema kina kata 13
Imetolewa na ofisi ya mkurugenzi halmashauri ya Arusha
12/07/2019
VIVA JPM...Njia ni nyeupe 2020