Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Posts
899
Reaction score
1,108
sababu za kujiuzulu kwake hizi hapa.

View attachment 52089View attachment 52090
 

Ili taarifa yako iwe more credible, tafadhali tupatie jina la Diwani husika.
 
Ni Sunami ya Mabadiliko.Hadi 2014 baadhi ya Wabunge wa ccm watakuwa wamehamia CDM. Wao wana Dola na Ufisadi, Sisi tuna Mungu na Nguvu ya Umma.....PEOPLES,,,,POWER.
 
Ngereja kaa mkao wakula...Unatumia muda mwingi kupiga porojo Bungeni na kulisahau jimbo lako,wakati BAVICHA wamekuwa kazini masaa 24 kuhakikisha Sengerema inakuwa ngome imara ya CDM.Hongereni sana BAVICHA Geita na Sengerema kwa kazi ambayo mmekuwa mkiifanya na sasa matunda yanaanza kuonekana.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 

KAMATA WEZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN! sio jinamizi,ni virus vya m4c vnaenea kwa kasi na hakuna chanjo wala tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…