Diwani kata ya Usevya mbaroni kwa ujangili

Diwani kata ya Usevya mbaroni kwa ujangili

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2,602
Reaction score
408
Kwa muda wa wiki mbili,diwani kata ya Usevya,tarafa ya mpimbwe jimbo la mpanda mashariki kwa waziri mkuu Mizengo Pinda, kupitia CCM ndugu Jossam Karihosi alikamatwa kwa akiwa na pembe za ndovu nyumbani kwake.

Hivi sasa yupo nje kwa dhamana. Watu wengine wanaohusishwa na biashara hiyo ni ndugu Sindi na Hawe.

My take:CCM ni hatari kwa ujangili wa wanyamapori.

Cc Lemutuz,ritz,zermacopolo,simiyu yetu,chama,chabruma,Hammy D,mwanadiwani,T2015CCM nk
 
Madiwani wa ccm naona sasa wameamua, huyu wa tatu sasa ndani ya juma moja. naona wameona katibu mkuu anafaidi sana..
 
Hawa madiwani wa Ccm mbona kama
wamechanganyikiwa sana jamani
Naona hapiti siku mara kuna aliyeiba:-
1. Sementi huko Geita
2. Kuna wanaokatwa na ndovu(pembe)

Imekuwa km suala la sembe vile kila uchao
kakamatwa huyu mara yule..Hatari sana
 
We subirini tu kimemo kitoke kwa washirika wa Mkulu utasikia HAYAKUWA MENO YA TEMBO BALI NI PEMBE ZA NG'OMBE AINA YA ANKOLE.Serikali imeshamuomba radhi naye kwa uzalendo alonao kwa serikali na chama chake amesamehe.Yule wa sement na bati iyo ni dili ya awa wadogo a.k.a chenga ndo maana yeye hakuna kimemo.pia msisahau lile lidiwani la ukoo wa Panya lilofungwa kule Kibaha kwa kukwepa kodi!
 
Ccm wameamua kula mara ya mwisho,kila diwani wa ccm anakula kwa urefu wa kamba yake wakiongozwa na JANGILI MKUU NDUGU ABDULAHMAN KINANA (KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI)
 
ccm wapiga porojo hapa jamvini nao ni majangili na majizi, you cant believe..ndio maana yanashinda na kukesha jf
 
Soma vizuri..!

Nadhani wewe ndio ulitakiwa kusoma kwanza.... the post was edited na mleta hoja baada ya swali langu!!! His post was edited five minutes after my questions, thanks to him for understanding my question

jifunze kusoma na kuelewa sio kuangalia maneno... hata "last edited by..." na ule muda wanaoweka pale una ujumbe pia

Asante kwa kujifunza kusoma vizuri:tinfoil3:
 
Back
Top Bottom