pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 112
huyu diwani afungwe jela maisha..hana adabu ni taahira kama makamanda wa chadema.
Mkuu una roho mbaya kweli kweli.
huyu diwani afungwe jela maisha..hana adabu ni taahira kama makamanda wa chadema.
huyu diwani afungwe jela maisha..hana adabu ni taahira kama makamanda wa chadema.
Mkuu una roho mbaya kweli kweli.
kama mama yako.
we kenge kwa hiyo alichofanya huyo diwani umekifurahia sana ?
huyu diwani afungwe jela maisha..hana adabu ni taahira kama makamanda wa chadema.
Kapelekwa Magereza ya Wapi mkuu?hukumu imetolewa lini?ndo mana mnaishia pabaya shauri ya kuongea msicho kielewa, kijua wala kufaham
kajipange
Tatizo la watu kutokufahamu kati ya magereza na mahabusu hili. Kwani Huyo diwani amehukumiwa tayari.
kumfungia mtu ndani ni UNLAWFULL DETETION.
Kosa la jinai.
Tatizo la watu kutokufahamu kati ya magereza na mahabusu hili. Kwani Huyo diwani amehukumiwa tayari.
Shika adabu yako wewe,usioongee usichokijua...
Kapelekwa Magereza ya Wapi mkuu?hukumu imetolewa lini?ndo mana mnaishia pabaya shauri ya kuongea msicho kielewa, kijua wala kufaham
kajipange
Wana Mwanza tusisahau dawa ya utawala usiofuata sheria na maadili. Kipigo na kuua kama yule mzee wa CCM.Diwani wa CHADEMA Kata ya Nyamanoro Ilemela Mwanza ,Bwana Abubakari Mwombeki Kapera leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Mwanza ili kujibu shitaka linalo mkabili la tuhuma ya kumfungia ndani ya ofisi Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela.Bahada ya kusomewa shitaka hilo Diwani alikana shitaka ndipo hakimu akamweleza wakili wa Diwani kuwa mdhamana ukowazi, mshitakiwa anatakiwa awe na wadhamini watatu wenye vitambulisho,barua iliyo pitishwa na mwenyekiti wa mtaana kuidhinishwa na Afisa mtendaji wa Kata,na kila mdhamini asahini bondi ya shillingi millioni tatu .Kwa baati mbaya wadhamini walio kuwepo mahakamani walikuwa ni wawili na barua zao zilikuwa zimepita kwa Afisa mtendaji wa kata,Hakimu ali mueleza wakili wa Diwani kwamba mdhamana upo wazi wadhamini waende wakarekebishe kasoro zilizopo kwenye barua zao za mdhamana na ndipowarudi mahakamani kumdhamini Mh;Diwani. Chakusikitisha ni kwamba ilipotimia saa saba mchana wa leo wadhamini watatu walikuwa wamekamilika na dosari za barua za mdhamana zilikuwa zimekamilika lakini kupitia kwa karani wa Hakimu huyo wadhamini wakaanza kuambiwa kuwa ,mara HAKIMU katoka nje ya CHAMBER ya mahakama,mara hakimu kaenda kuhuguza mtoto wake nyumbani, na kwasababu ya kizungumkuti hicho MH; Kapera amepelekwa magereza ya Butimba. Kutokana na mazingila haya ukurasa huu ulipo chunguza juu ya sintofahamu ya dhamana ya MH;DIWANI ukurasa humebaini kuwapo kwa mchezo mchafu kwenye mahakama hiyo ambapo pamoja na mambo mengine hasimu wa CHADEMA MEYA MATATA, ameonekana mazingira ya mahakama hii majira ya saa mbili asubuhi akiwa na hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo ambaye pia ni adui waChadema Mwanza,lakini pia wakati hakimu mwenyekesi hiyo akiendelea nakusoma masharti ya dhamana mtu wa karibu kimausiano na hakimu mfawidhi alimpatia kimemo akimu anaye sikiliza kesi hiyo ndipo uso wa hakimu huyo ukabadilika kutoka muonekano wa awali.
Haki uwa aipotei yaweza cheleweshwa ,lakini haki iliyo cheleweshwa nisawa na haki iliyo potea.
Matata afahamu Mungu ni mkubwa kuliko CCM,hipo siku hipo siku.
unafam taratibu zinazofanywa mpaka mtu apelekwe magereza au unakonyagi tu apa?Hivi umesoma huo uzi? Ni vema ukitaka kuingia humu usinywe yale maji ya Breweries, yaani unauliza hata gereza alilopelekwa wakati amesema mtuhumiwa kapelekwa Butimba, au wewe Butimba unajua ni chuo cha ualimu tu?
huyu diwani afungwe jela maisha..hana adabu ni taahira kama makamanda wa chadema.
ficha ujinga wako utabalehe lini akili,mwili mkubwa kichwa kimajaa maji