Diwani CHADEMA akosa dhamana, aswekwa mahabusu

Ifike mahali bavicha mstaarabike sio kuleta matusi na maneno machafu kama ya kina Mungi
 
Last edited by a moderator:
Wacha atiwe sheriani, naye aliwatia aibu sana wapiga kura wake kwa kufanya vitendo vya kitoto ambavyo havistahili kufanywa na diwani.
 
Suala la Mwanza wacha Matata aendelee 'kusaidia' kifo cha CCM. Lakini watu wa Mwanza watakaposema sasa basi, asitafutwe mchawi kabisa. It had been too much.

Tumaini makene sasa naanza kuamini kwa nini vijana njaa kali kama yericko na ben namba nane wanaitolea macho nafas yako hii

upeo wako ni mdogo sana

in fact nawewe ni mchumia tumbo tuh,hivi ni mchaga wa wapi wewe...
 
huyu diwani afungwe jela maisha..hana adabu ni taahira kama makamanda wa chadema.

we sio mzima,kifungo cha maisha kwa lipi? Naona unatafuta umaarufu mdogo JF,Kwa kuchangia kila thread inayohusu chadema,tena kwa kuongea pumba,Shame on u bruh!
 
Tumaini makene sasa naanza kuamini kwa nini vijana njaa kali kama yericko na ben namba nane wanaitolea macho nafas yako hii

upeo wako ni mdogo sana

in fact nawewe ni mchumia tumbo tuh,hivi ni mchaga wa wapi wewe...

makene ni kilaza kwelikweli.. uchaga tu unambeba
 
we sio mzima,kifungo cha maisha kwa lipi? Naona unatafuta umaarufu mdogo JF,Kwa kuchangia kila thread inayohusu chadema,tena kwa kuongea pumba,Shame on u bruh!

we kenge kwa hiyo alichofanya huyo diwani umekifurahia sana ?
 
Suala la Mwanza wacha Matata aendelee 'kusaidia' kifo cha CCM. Lakini watu wa Mwanza watakaposema sasa basi, asitafutwe mchawi kabisa. It had been too much.
kumfungia mtu ndani ni UNLAWFULL DETETION.

Kosa la jinai.
 
Tumaini makene sasa naanza kuamini kwa nini vijana njaa kali kama yericko na ben namba nane wanaitolea macho nafas yako hii

upeo wako ni mdogo sana

in fact nawewe ni mchumia tumbo tuh,hivi ni mchaga wa wapi wewe...

Huyo jamaa alisoma pale SJMC ni mtu asiye makini na mzembe hakuna ndo maana anapwaya sana
 
SAFI SANA WEKA NDANI MACHOCHEZI HAYO ADABU IRUDI NCHI IMEPOTEZA WATALII SABABU YA FUJO ZAO HIYO NDO DAWA YAO AFADHALI SIKU HIZI HATA MAOFISINI TUNAPUMUA MAANA ILIKUWA JOTO TUPU CHADEMA IMEKUFA NA AMANI NCHINI Imerudi...

we hao watalii wamekufaidisha nini hadi leo,
zinduka, unaliwa kijana
 
nenda wewe mwanza kaongoze hayo mapambano si una bwabwaja nyuma ya keyboard.

hahaha huyo jamaa akisikia hata mlio wa bomu la machozi anatoka nduki kujificha chini ya kitanda.. haha lema alikimbilia kujificha kwenye mabanda ya kitimoto..
 
sometimes na wish all JF members tukutane face 2 face ili nione sura za baadhi ya watu kama zinafanana na matak o kama hoja zao wanazo post.
 
Back
Top Bottom