Divorce leo leo

Hivi waliosema macho hayana pazia walimaanisha nini hasa?
 
somtimes hata wanawake wanapenda kuona wanaume wao active. hasa mzigo ukipita mkali mwanaume utulie mkeo atakuchukulia poaa,aisee
 
Unageka unakuta jamaa anataka kujikwaa kwa hiyo kitu ni hapo hapo haina mjadala maana hayo ni maradhi na kwake hayana tiba
 
Wenye ugonjwa huu sa hivi tuko wengi sijui unasababishwa na mdudu gani.
 
Kazi ya Muumba lazima uisifie, hapo anamsifia Muumba alioko juu.
 
kiu ndio inamsum bua asubiri fungate
 
Bibie angekuwa makini ile jamaa anarudisha macho mbele,anampa "banzi" takatifu la uso.Lol,don't try it ladies!
 
Bi harusi furaha imemjaa tele kiasi kwamba hata akimuona mumewe atapuuzia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…