PreGE2025 Division zero inatosha kabisa kuelewa ujumbe wa Askofu Gwajima kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,514
Reaction score
6,070
Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa

2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa wanapoanza kufanya uchunguzi juu ya watekaji , wanagundua kuwa kuna kundi dogo ambalo nyuma yake ipo mamlaka ya uteuzi inayowateua wakuu hao, na hivyo wanaufyata.

Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

Tukiconect dots kidogo
back in April 24, wanachama wa CHADEMA walikamatwa mbele ya mahakama , wakateswa kisha kwenda kutupwa maporini, days later, Murilo anahojiwa anasema kuwa polisi hawahusiki, kaweka wazi waliokamatwa ni Heche na Mnyika, zen kaauliza , ni nani aliyejeruhiwa kati ya hao?

Je , Muliro alikuwa ni mwehu kusema jeshi la polisi halihusiki katika hili? No, Muliro alijua anachoongea , hapa anamaanisha kuna kundi dogo linavaa uniform za polisi ambalo kazi zao ni kuteka , kutesa na kuua.

siku moja kabla ya wanaharakati wa kenya na ugandwa kukamatwa, kuteswa na kutelekezwa mipakani , Rais alizungumza kitu gani? ( hapa kuna dots ukiziunga, ukajumlisha na yaliyosemwa na Ask Gwajima, utagundua yes She is the one behind haya yanayoendelea)

GWAJIMA ANA DATA KAMILI, NA SIO YEYE TU ANACHUKIZWA NA HILI SUALA LA TEKA TEKA, KUNA WATU NYUMA YA GWAJIMA.

Muwe na ibada Njema
 
Inawezekanaje nchi nzima akosekane wa kukitumbua kikundi hicho royal kinachofanya uovu wa kutisha nchini? Wapo wazee vingunge wa nchi hii wanashindwa nini kukikamua kikundi hicho kinachoharibu sura ya nchi? Too late gwajima anajitoke kujilipua huku haaminiki anachokisema
 
Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa

2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa wanapoanza kufanya uchunguzi juu ya watekaji , wanagundua kuwa kuna kundi dogo ambalo nyuma yake ipo mamlaka ya uteuzi inayowateua wakuu hao, na hivyo wanaufyata

Tukiconect dots kidogo
back in April 24, wanachama wa CHADEMA walikamatwa mbele ya mahakama , wakateswa kisha kwenda kutupwa maporini, days later, Murilo anahojiwa anasema kuwa polisi hawahusiki, kaweka wazi waliokamatwa ni Heche na Mnyika, zen kaauliza , ni nani aliyejeruhiwa kati ya hao?

Je , Muliro alikuwa ni mwehu kusema jeshi la polisi halihusiki katika hili? No, Muliro alijua anachoongea , hapa anamaanisha kuna kundi dogo linavaa uniform za polisi ambalo kazi zao ni kuteka , kutesa na kuua.
GWAJIMA ANA DATA KAMILI, NA SIO YEYE TU ANACHUKIZWA NA HILI SUALA LA TEKA TEKA, KUNA WATU NYUMA YA GWAJIMA.

Muwe na ibada Njema
Sahihi kabisa ingawa Muliro anaweza kuwa msemaji wao.

Mkuu, kwa umaliziaji huo, wewe ndiwe johnthebaptist au tumsubiri mwingine?
 
Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa

2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa wanapoanza kufanya uchunguzi juu ya watekaji , wanagundua kuwa kuna kundi dogo ambalo nyuma yake ipo mamlaka ya uteuzi inayowateua wakuu hao, na hivyo wanaufyata

Tukiconect dots kidogo
back in April 24, wanachama wa CHADEMA walikamatwa mbele ya mahakama , wakateswa kisha kwenda kutupwa maporini, days later, Murilo anahojiwa anasema kuwa polisi hawahusiki, kaweka wazi waliokamatwa ni Heche na Mnyika, zen kaauliza , ni nani aliyejeruhiwa kati ya hao?

Je , Muliro alikuwa ni mwehu kusema jeshi la polisi halihusiki katika hili? No, Muliro alijua anachoongea , hapa anamaanisha kuna kundi dogo linavaa uniform za polisi ambalo kazi zao ni kuteka , kutesa na kuua.
GWAJIMA ANA DATA KAMILI, NA SIO YEYE TU ANACHUKIZWA NA HILI SUALA LA TEKA TEKA, KUNA WATU NYUMA YA GWAJIMA.

Muwe na ibada Njema
Muliro yupo sahihi, wanaoteka si polisi, ni kikundi kinacho valishwa magwanda ya polisi. Kina mafunzo ya juu ya utesaji na kuuwa. Polisi huhusishwa kuchukua maiti kile kikundi kikisha kamilisha kazi yake.
 
Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa

2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa wanapoanza kufanya uchunguzi juu ya watekaji , wanagundua kuwa kuna kundi dogo ambalo nyuma yake ipo mamlaka ya uteuzi inayowateua wakuu hao, na hivyo wanaufyata

Tukiconect dots kidogo
back in April 24, wanachama wa CHADEMA walikamatwa mbele ya mahakama , wakateswa kisha kwenda kutupwa maporini, days later, Murilo anahojiwa anasema kuwa polisi hawahusiki, kaweka wazi waliokamatwa ni Heche na Mnyika, zen kaauliza , ni nani aliyejeruhiwa kati ya hao?

Je , Muliro alikuwa ni mwehu kusema jeshi la polisi halihusiki katika hili? No, Muliro alijua anachoongea , hapa anamaanisha kuna kundi dogo linavaa uniform za polisi ambalo kazi zao ni kuteka , kutesa na kuua.
GWAJIMA ANA DATA KAMILI, NA SIO YEYE TU ANACHUKIZWA NA HILI SUALA LA TEKA TEKA, KUNA WATU NYUMA YA GWAJIMA.

Muwe na ibada Njema

Hata aliyekuwa Rais wa Zaire (DRC) dikteta Mobutu Sese Seko naye pia alikuwa anamiliki makundi na Magenge yake ya Watekaji watu
 
Inawezekanaje nchi nzima akosekane wa kukitumbua kikundi hicho royal kinachofanya uovu wa kutisha nchini? Wapo wazee vingunge wa nchi hii wanashindwa nini kukikamua kikundi hicho kinachoharibu sura ya nchi? Too late gwajima anajitoke kujilipua huku haaminiki anachokisema
Ukimsikiliza yeye , anasema 'matukio haya yamezidi kipimo' means pengine alidhani yataisha ila anashangaa kikundi hicho kimenogewa kufanya utekaji na uuaji mpaka kimejisahau kiasi kwamba hata watu wa mataifa mengine wanafanyiwa unyama kama watanzania wanavyofanyiwa
 
Kama kikundi kipo kisemwe tu na watu wawajibishwe kwa uovu huo. Hii nchi ni ya watanzania wote hakuna kikundi chenye nguvu zaidi ya watanzania wote
Na ndiyo maana wenye taarifa za uhakika na kuchoshwa na mambo maovu haya wameanza kujitokeza mmoja mmoja, soon Tanzania tutaongea lugha moja. Suala la reforms linahitajika haraka sana
 
Iko wapi nafasi ya vyombo vya ulinzi na usalama kufanya majukumu yake kama kuna kikundi royal kinafanya vitendo viovu vinaachwa tu vikiharibu nchi?
Ndiyo maana akaja na mapendekezo ya reforms ya sheria , kwa sababu hawa wakuu wa vyombo vyetu hawana nguvu kwa kuhofia kumwagwa ugali wao chini maana nao ni wanadamu, wanamahitaji yao binafsi , wana watoto , kukiwepo kinga dhidi ya hawa wakuu wetu, ni wazi kabisa watafanya kazi kwa weledi
 
Hawa viongozi wetu , M/Mungu aingilie kati tu, ni hatari sana, na haya yote hapa Tanzania chanzo chake ni mwendazake

No, hapana.

Chanzo cha matatizo yote haya ni kuwepo kwa Katiba mbaya Sana pamoja na kuwepo kwa Sheria mbaya Sana ambazo ni Kandamizi. Vitendo hivi viovu vya uhalifu mbaya wa Utekaji Watu, Utesaji, kupoteza, kuua Watu, n.k vina baraka zake kutoka kwenye Katiba ya nchi pamoja na kwenye Sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom