Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Samahani kwa Usumbufu Waungwana, ukisikia mtu kapata 3:21points kwa Advanced Level anakua amepataje? Yaani A,B, C ngapi? Sorry
Mi nimeshindwa kumuelewa hiyo ni form 4 au ni 6? Maana division 2 ya six inaishia na point 12. Anadanganya hadi vitu vya wazi huyu shahidi wa mchongoSamahani kwa Usumbufu Waungwana, ukisikia mtu kapata 3:21points kwa Advanced Level anakua amepataje? Yaani A,B, C ngapi? Sorry
Mi nimeshindwa kumuelewa hiyo ni form 4 au ni 6? Maana division 2 ya six inaishia na point 12. Anadanganya hadi vitu vya wazi huyu shahidi wa mchongo