Division 111 ya 25 female

Mar 5, 2009
95
32
Wakuu wenye ufahamu naomba mnijuze. Mdogo wangu wa kike kapata div 111 point 25 kama ifuatavyo;
english-b; civics-c; maths-d; kiswahili-d; art-d; bible-d; history-d; geography-d; history-d.
1. Je anaweza kupata nafasi kuchaguliwa form 5?
2. Je ni kweli kwamba lazima apate c tatu ndo aweze kufanya acsee?
3. Je kuna tofauti gani kati ya huyu mwenye 111 ya 25 lakini hana f na mwenye 1v ya 27 lakini anazo c tatu na amefeli baadhi ya vipindi?
Tafadhali naomba mwongozo kwa mwenye kujua utaratibu wa wizara na necta
 
1.Hawezi kuchaguliwa
2. C tatu ni lazima ili aweze kufanya ACSEE
3.Tofauti hapo ni points, ndiyo maana mtu anaweza akapata F baadhi ya masomo na bado akawa na division 1.

Kinachotakiwa ni kutafuta hiyo credit moja ikiwa anahitaji kufanya hiyo ACSEE
 
Ili ufanye mtihani wa ACSSE 'lazima uwe na c tatu tu, na kuendelea ,
hivyo mdogo wako ni vigumu kwanza kuchaguliwa kwenda kidato cha tano (hawezi) pia anatakiwa kureseat ili apate walau c moja au zaidi
 
Kaka labda subiri akibahatika kuchaguliwa serikalini maana kuna jamaa yangu alipataga shule kwa credit mbili japo ilikuwa science lakini akikosa basi atalazimika kutafuta hiyo moja maana kwa private bila c tatu hatafanya acse
 
Mkuu mbona huyo dogo kafaulu sana koz matokeo ya mwaka huu ni mabaya sana, cha msingi mtafutie shule ya prvt asome 4m5 huku anatafuta hyo crdt 1 na hawezi kukosa na mwakani ataendelea na 4m6. Bkoz kama ameweza kupata hata B moja basi ujue huyo dogo yupo juu, also na kama mkuu utafata ushauri wangu basi ujue utakuwa umemfanikisha dogo koz hata my dada aliwahi soma hvyo na sasa yupo UDSM mwaka wa 2. Kila kheri mkuu.
 
Bora matokeo yametoka watoto wanakuja na uzi za maana.

1.Hawezichaguli hata kama shangazi yake ni dr ndalichako.
2.C tatu ni muhimu,mwambie aende jeshini tu au veta
 
Kaka ckushauri wala usimshauri ku-reseat huyo dada etu, coz kuna uwezekano mdogo sana wa kupata crdt as far as i know kuwa siku hizi hakuna ku-reseat somo moja wala ma2 ni lazima afanye yote so anaweza akapoteza kabisa hata hzo crdt mbili alizonazo.Labda anachotaka ni kwenda Advance tuu ili afanye ACSEE au anamalengo ya mbele zaidi?? Kama kidogo home wanajiweza zipo shortcut nyingi tuu za kuendelea mbele tena kwa hayo matokeo yake anaweza endelea na akapata chuo kizuri tuu na kuwapiga gap hata hao wenzake waliofanya vizuri sasa hivi kwani wanaweza fanya vibaya ACSEE, so kwa ushauri wangu ni kuwa Mtafutieni chuo ili aendelee mbele na kwa matokeo hayo anaweza kupata hata Diploma to some of the Institutes or Certificate kwani kinachotakiwa ni pass tu and as i can see vigezo anavyo, na kuna baadhi ya vyuo kama anatoka Certificate anaweza kuunga moja kwa moja Bachelor Degree,its a matter of searching for proper Information jombaa.

Angalizo: Usimshauri arudie Mtihani wa CSEE.
 
Penye nia pana njia also moyo wako ulipo ndipo na hazina yako ilipo, so kama dogo nia yake ni 4m5 ana malengo yake juu ya hili basi ni vyema akafanya kama nilivyokushauri hapo awali alaf pia ni vyema dogo akubali chalenge so kama utamuamisha kumpeleka chuo na wakati nia yake sio huko jua utakuwa umemzika kwa%, ni vyema ukafata ushauri wangu huo kwani hata yupo tena jamaa yangu mmoja alifanya hvyo last year na mwaka huu anaingia 4m6, kikubwa aongeze juhudi na asikate tamaa kwani hata aliegundua umeme alifanya zaid ya experiments 600 na badae akawin.
 
Bora matokeo yametoka watoto wanakuja na uzi za maana.

1.Hawezichaguli hata kama shangazi yake ni dr ndalichako.
2.C tatu ni muhimu,mwambie aende jeshini tu au veta

teh...teh....! Jukwaa la MMU hawaendi tena, na yale maswali ya 'nitajuaje kama ametembea na mtu mwingine' kwisha kabisa.
 
hiyo division ya chooni au??division mia moja kumi na moja(111)!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!duh......................:welcome:
 
Back
Top Bottom