Diverted calls kwenye simu

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
879
Kwenye simu yangu ya nokia ..tokea jana kila nikipiga simu inaandika ..note:you have active diverts..sasa sijui imetokana na nini halafu hata na wenzangu hapa wamepata hilo tatizo.Je kuna namna ya kuliondoa.
 
Tokea juzi simu yangu ya nokia kila nikipiga inaandika NOTE:YOU HAVE ACTIVE DIVERTS..wakti sijawahi kui divertr,,nimejaribu kui cancel lakini haitoki nimepiga customer care wakasema haina tatizo..ndo simu za nokia zilivyo..nikamwambia kua nina nokia mda mrefu na cjawahi kuiona ikitokea akasema hajui..vp wadau ni mtandao au ni nini hasa.
 
Kwenye simu yangu ya nokia ..tokea jana kila nikipiga simu inaandika ..note:you have active diverts..sasa sijui imetokana na nini halafu hata na wenzangu hapa wamepata hilo tatizo.Je kuna namna ya kuliondoa.

Jiulze kwanza kwanini, simu zenu nyote zimekuwa divert, mimi ilishawahi kunitokea mkurugenzi wetu alitupa simu mzuri sana zikiwa na namba zake tayari.

Alichofanya kumbe alichukua IMEI ya kila simu akawa anapata mawasiliano yetu sote.
 

haimaniishi call zako zinakuwa diverted.. Nokia tochi (baadhi) ziko hivyo pia
 
bonyeza ##002# halafu ok

thanx nlikuwa na tatzo hlo kwa mwez mzima sasa na nilikuwa sijui nifanyeje na ni nani alodivert call katika simu yangu na kwa malengo gani.
kwa msaada wako hakuna tena active call diverted.
 
Huyo special agent kweli ni special , sasa ni nani huyu aliyetufanyia haya ili tuweze kushughulika naye ? Japo kwa sms tu ili kumkomesha !
 
Lazima kuna mtu atakuwa amedivert tu, simu haiwez ikajidivert yenyewe. Nenda kwenye call settings then cancel all diverts
 
bonyeza ##002# halafu ok

Mkuu asante kwa maelezo yako, ila bado kuna tatizo.
Nikisha bonyeza ok (Kwangu ok haionekani ila nabonyeza sehemu ya kupiga simu) kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu inaniambia Divert cancelled. Ila nikipiga namba ya mtu yoyote bado inaniandikia ujumbe ule ule "Note: active incoming calls diverts" Nifanyeje sasa ili kuondoa tatizo hili kabisa.
 
yaah hata mimi nina da same problem
 
formular niliyotoa ni ya kucancell all devert call otherwize ni setting zingine za cm yako kwa ushaurii labda sasa usome manual ya cm yako but that formular applies to all handset that has been diverted.dats all about me
 
yaah hata mimi nina da same problem

Hili tatizo ninalo kwa siku kadhaa sasa. Hofu yangu ikawa kwamba isije ikawa maagizo ya Polisi na DK. Kashilillah ya kuwanasa waliomtukana Mama Makinda ndo yameanzia kwangu. Kumbe tupo wengi, sasa napumua vizuri!!!
 
Asante kwa msaada wako. Hivyo wengine kama Chona na lokiyo tumebaki. Formula hii imetubagua.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye simu yangu ya nokia ..tokea jana kila nikipiga simu inaandika ..note:you have active diverts..sasa sijui imetokana na nini halafu hata na wenzangu hapa wamepata hilo tatizo.Je kuna namna ya kuliondoa.

Pole natumai wajuzi wa hiyo kitu watakusaidia.
Mie tatizo langu ni jinsi ya ku-set call divert in my iPhone 4.
Nimejaribu kutumia utundu but sijaona option yeyoye ya kuniwezesha kufanya hivyo.
Wataalamu, pls help me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…