Naona wengine wanapiga Ramli hapa
Mara uchumi.
Mara team Ruge wanaondoka
Mara walioexpire.
Mara the beginning of the end.
Mara Diva ana brand yake kama DJ Khalid (teh teh).
Mara Ruge aliwamudu wafanyakazi.
Ruge akiwa hai kuna watu waliacha kazi, kuna watu wapya walipata kazi na wapo walioacha kazi wakarejea matapishi.
Diva kasema hivi:
Kwasababu yakusimamia ukweli anaouamini, ameamua kufikia maamuzi hayo ambayo anaamini ni sahihi kwake.
Nisamehewe kwakutumia sana jina la marehemu.