MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 580
- 583
..
DahAnatoa wimbo ili iweje?
hii komenti kali sanaAnatoa wimbo ili iweje?
Hapa kuna harufu ya kutengeneza umaarufu.Kiki za kutengeneza ku_boost wimbo wao...
mkuu mziki wa bongo ni stress kwa sasa ila diamond tu ndo anazipatiaga hiz skendo hawa wengine hawajielewiKiki za kutengeneza ku_boost wimbo wao...
Wasanii.Ndio nani hao?
Sijui....labda atakuwa ndio huyo ambaye atakiwi kujua kama yeye anajigonga kwa Bilinasi.Huyo Diva bwana wake ni nani?