DIT vs UDSM(COET) projects

Sio wote wanafundisha DIT wanatoka UD mfano pale civil Kuna lecture Kasoma copperbelt university na bado darasa Zima la oil & gas engineering wanafundishwa na wazungu, hapo Hao unaosema wametoka UD masters, PhD Hawa kuchukua hapo UD na bado utambue DIT ilianza kabla ya coet jiulize Sasa walimu walikua wanatoka UD? Pia ukumbuke UD iliomba mtaala wakitambo hicho wakati DIT inaitwa DAR TECH ipo chini ya Wajerumani ile waweze kuanzisha hiyo coet,
 
Katika carrier yangu yangu ya civil engineering...project zote nilizowahi kupitia.. Nimegundua elimu ya coet inawapumbaza wanafunzi...wanateswa sana kwenye madesa ila site work hawajui...design hawajui...!! Me sikuwahi kusoma DIT ila product za dit ni nzuri na wanauzika mtaani...wako vizuri sana compared to coet..
 
nilikutana na wanafunzi wa COET field ni pumba tupu kila kitu hawajui
Mkuu naunga mkono hoja... Me si mwanafunzi wa dit ila coet niwatupu site... Imagine mwanafunzi wa mwaka wa 3 civil hajui size ya nondo kwa kuitazama tu..anashindwa hata grades za concrete!!
 
Naona hatuelewani, DIT ni institute, UD ni University, kama waongea swala wanafunzi vs wanafunzi hayo mengine, ila nachojuwa DIT inafundishwa na walimu waliotoka UD..
Tatizo si mwalimu tatizo ni sera na mfumo wa chuo... Ni sawa na kufananisha huduma za hospital za serikali na binafsi wakati madaktari wengi wa hospital binafsi hufanya kazi na niwaajiliwa wa hospital za serikal... Si swala la wanafunzi wa dit kufundishwa na walimu wa udsm kuwa lazima wazidiwe na coet hilo ondoa kabisa... Coet mko watupu kichwani mnakalilishwa madesa na stress za kudisco.. Me si mwanafunzi wa dit ila wanawapiga bao katika fields zote za engineering.
 
 
Di
Eti nini?? Diproma????? Basi wameendelea sana badala ya diploma wanatoa dipromaa
 
Hivi huu uongo unawasaidia nin, unasema wanafunzi wa CoET ni watupu kichwani, hivi unajua kwenye industry ya construction kuna makampuni mangapi ya kizalendo yaliyoajiri wahandisi kutoka CoET au yaliyoanzishwa na wahandisi toka CoET,embu tuambien basi mmekazania tu wanafunzi wa CoET wanakaririshwa mara hawajui hawapo practical tuambiane hzo practical zinazofanywa D. I. T.na UDSM hawafanyi..
 
.
Kuna tofauti kubwa ya kifalsafa kati ya 'universities' na 'institutes'. Universities wako zaidi katika kuongeza maarifa kinadharia kiujumla, wakati institutes wao wamebobea kivitendo katika sehemu moja ya maarifa. Unakuta mtu aliyesoma 'university' anajua vitu vingi (kidogo kidogo) ila wa 'institute' anajua kimoja kwa undani zaidi.
 
.
Umbea ndiyo theory?

Unamaanisha nini kusema knowledge nilizopata?

Mtu anaweza kusoma 'complex number' na akasema mambo ya 'imaginary part' hayana maana, ni 'umbea mwingi' tuu bila action lakini kwa kutumia huo huo 'umbea mwingi' wa 'complex number' mtu anaweza ku analyze signals ili ai-tune engine vizuri.

Kwenye kuunda rotary engine kwa mfano, 'umbea' wa epitrochoid hutumika ili kuweza kufanya hizo actions za uundaji. Huwezi kudesign system yoyote bila kuwa na maarifa ya 'umbea mwingi'.
 

Acha maneno mengi thread inakusudia kuangalia projects
Weka apa Projects zilizofanywa na COET
 
kama kuandika diploma imekuwa kazi nafikiri hata hapo college of engineering and technology utakuwa unapita tu ukiwa unaenda changanyikeni
 
kama kuandika diploma imekuwa kazi nafikiri hata hapo college of engineering and technology utakuwa unapita tu ukiwa unaenda changanyikeni
Atakuwa alijuta baada ya kukuta Kila coursework Ana chini ya kumi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…