Pendo Julliet
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 243
- 324
DIT ilianzishwa special kwa ajili ya kuzalisha engineers na technician wabobezi ili kuziba gape la wataalamu wanaokosekana Tanzania na wale walokuwa wanazalishwa na vyuo vilotangulia kabla ya DIT kukosa skills kwenye soko la ajira huko nyuma UDSM walishawahi kuomba Engineering syllubus za kufundishia kutoka DIT na wanazitumia hadi leo unajua haya?Naona hatuelewani, DIT ni institute, UD ni University, kama waongea swala wanafunzi vs wanafunzi hayo mengine, ila nachojuwa DIT inafundishwa na walimu waliotoka UD..
Sijuwi asante kwa kutuhabarisha..DIT ilianzishwa special kwa ajili ya kuzalisha engineers na technician wabobezi ili kuziba gape la wataalamu wanaokosekana Tanzania na wale walokuwa wanazalishwa na vyuo vilotangulia kabla ya DIT kukosa skills kwenye soko la ajira huko nyuma UDSM walishawahi kuomba Engineering syllubus za kufundishia kutoka DIT na wanazitumia hadi leo unajua haya?
Yeah tuanzie hapo kwanza mkuuEbu tuwekee rank ya vyuo hivi kwanza kwa ubora duniani ndio tuanze kudadavua zaidi
Mkuu huwezi linganisha projects za University na chuo cha VetaAim kubwa ni kushindanisha projects zinazofanywa na vyuo hivi coet na ud.kipi kiko vizuri kwenye projects
Kumbe COET ni University.....
Masters uchwala hyo na very soon magufuli ataifuta hyo masters fegreeDit wanatoa hadi masters lakini
Kill jay zMm najalia the Competency iliyopo baina ya Wahusika Hawa wawili ..though Udsm Ni kama JAY Z Hata aspotoa wimbo atapata hata tuzo ya heshima
UWE NA AKILI BASI.. kwhy Massachusetts Institute of Technology (MIT) utasema kipo chini ya UDSM kwakua UDSM ni University???Hahahaha yaani unalinganisha institute na university - coet . Hebu acha kulinganisha coet na mambo yakijinga.
Yaani projects au researches na publications ndizo zinazoweka chuo kuwa juu na bora kuzidie mwenzake.
Sasa hiyo institute yenyewe inafundishwa na walimu Toka coet ambao ni sample tu.
Hao MIT ni balaa mkuu, harvard wana title kubwa lakini when it comes to technology innovations wanakaa japo wao ni university kama wanavyojinasibu UDSM, so DIT japo ni institute wanaweza wakawa vizuri kiteknolojia kuliko hao COETUWE NA AKILI BASI.. kwhy Massachusetts Institute of Technology (MIT) utasema kipo chini ya UDSM kwakua UDSM ni University???
Hahahahaha yani hua nashangaa sana tu vyuo tudogotudogo ndio hua wanajiringanisha na UDSM Ila hata siku moja huwezi kuta UDSM ikajiringanisha na vyuo vingne
Na katika hali ya kawaida kitu dhaifu hua kinatafuta kila namna ya kuangalia ubora wake na kitu ngangali maana Ile ndio standard ya ku conform
Coet hawanAga mda Wa kujilinganisha na vyuo vingine sababu najua inafahamika wazi
Sign out
Ila nimeona jamaa kaongelea project hebu jaribuni kuonesha project zilizofanywa na wana Coet na za wana DIT tuone ni wapi wana project kali au tupate watu kama wakina Mello walo tengeneza forum hii hadi leo mnapata nafasi ya kubishania tunaombeni hizo project sio maneno mengi yasio jenga mifupa tunataka tuone hao ma TO wameifanyia nini Tanzania....MIMI NINACHOFAHAMU KUHUSU HAWA JAMAA WA DIT WENGI NI WALE VILAZA WALIOFELI NA KUAPGRADE KWA VI CERTFICATE,DIPLOMA NK, HUWEZI SIJUI SIKU HIZI LABDA KWA AJIRI TU YA UGUMU WA MAISHA UTAKUTA MTU ANAENDA PALE .HIVI KUNA TANZANIA ONE(TO) HATA MMOJA AMEWAHI KUWA REGISTERTED DIT?
Hizo ni ndoto za alinacha mkuuHao MIT ni balaa mkuu, harvard wana title kubwa lakini when it comes to technology innovations wanakaa japo wao ni university kama wanavyojinasibu UDSM, so DIT japo ni institute wanaweza wakawa vizuri kiteknolojia kuliko hao COET
Wapo Coet pia wanatamani kua DITnenda kagoogle projects za udsm zipo za kutosha tu maana unaleta ushindani usio na tija, hivi unafikiri wangapi wapo dit wanatamani wangekuwepo coet?.