Kipi hicho na kwanini mkuuKimoja cyo chuo
oohUdsm..is university...dit..is university college..see the difference
unajuaje kwamba shule sijaendaNenda shule kwanza
UDSM chuo cha kuaminika zaidiJamani kumekuwepo na thread nyingi ambazo zinashindanisha DIT na UDSM,Kwani vyote si vyuo au
so udsm ni baba sio?dit mtoto?Utapambanishaje baba na mtoto?
kumbe dit hawaaminiki?UDSM chuo cha kuaminika zaidi
hiyo ndo sababu ya msingi?Kwa taarifa yako UDSM tangu uhuru ni chuo! Njoo feli ushangae kivuko
Vyote vina aminika lakini kunakuzidianakumbe dit hawaaminiki?
okey ndo maana wanashindanishwa sasa nimkupataVyote vina aminika lakini kunakuzidiana
Umemaliza mchezo mkuuhizi ligi mtaacha mkimaliza chuo na kujua kwamba dit au udsm haiwezi kukusaidi wakati unaisoma namba mtaani
kwanini unauliza hivyo?Vip ndo unajipanga kwenda certificate au diploma?