WeedLiquorz
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 3,416
- 5,697
Wakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo Mwendokasi ni wa kwenda wapi?
Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa.
Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari siyo kifo, Bella akasema atarudi.
Wakuu hii equation ya Distance(Umbali)/time(muda) haijawahi mwacha mtu salama haijalishi mnapendana kiasi gani.
Kwamba wahuni wakimtokea Mpenzi/Mkeo akawajibu mimi nina mtu wangu huwa wanamuuliza yupo wapi? Utasikia anafanyia kazi/anasoma mkoani (distance, S)
Hapa ndo vijana tunasema ni suala la muda(t) tu Kumaanisha hakuna Penzi tena hapo.
Iweni na Sabatho Njema.