Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

Hiyo fast, yaani kaenda shule semester ya kwanza tuu kaniletea maigizo, sina hamu bora maigizo ya kina mwijaku.
Pole mkuu ila si ushaponaa, Ogopa sana hasa kama alikua mshamba akapata nafasi yake ya kwanza kutoka nje ya Kijijini kwao uko aga wanajiona wamekua wanyama wanahitaj tu watu wapya wa uko mjini sasa.
All in all Pesa ni tamu kuliko Mapenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom