Mtende;
habari
kipindi cha nyuma actualy miaka ya 2000 i was young kuna movie ilikua inavuma ila sikubahatika kuiangalia, sina uhakika na jina la hiyo movie ila nadhani ilikua inaitwa DIAPERING ACT inahusu mke aliekua anaanguka kifafa na mumewe aligundua hilo baada ya ndoa kufungwa. naitafuta sana hii movie how can i download it? mwenye link pls.
Naikumbuka hiyo movie hasa ile scene ya Wesley na Sanaa kwenye mlango wa friji. Anyway unaweza kuidownload kwa torrent kama una Vuze, Aris etc.