Al-akhdally Member Joined Jul 3, 2018 Posts 99 Reaction score 119 Jan 26, 2020 #1 Wakuu nimevunja TV yangu aina ya CONDOR nchi 42, display nimeulizia dukani bei Yake imenishinda. kama kuna mtu alieua board ya flat nch 42 naomba tuwasiliane kwa namba yangu 0783973428 tufanye biashara aniuzie kioo kama spare. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nimevunja TV yangu aina ya CONDOR nchi 42, display nimeulizia dukani bei Yake imenishinda. kama kuna mtu alieua board ya flat nch 42 naomba tuwasiliane kwa namba yangu 0783973428 tufanye biashara aniuzie kioo kama spare. Sent using Jamii Forums mobile app
LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,727 Reaction score 13,466 Jan 26, 2020 #2 ni bora ukanunue tv mpya avhana na hizo habari Sent using Jamii Forums mobile app
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,552 Jan 26, 2020 #3 LICHADI, Kwanini? Tv yangu Sony 48' madogo wamegonga kioo na ule wino umesambaa kwenye angle moja. Nilikuwa na mpango wa kutafuta display.
LICHADI, Kwanini? Tv yangu Sony 48' madogo wamegonga kioo na ule wino umesambaa kwenye angle moja. Nilikuwa na mpango wa kutafuta display.
Dumelang JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 3,274 Reaction score 5,936 Jan 27, 2020 #4 Yan bei ya kioo ni kama unanunua tu TV mpya. Kuna TV nilinunua 450,000. Ilipopasuka kioo bei 370,000/ tofauti Tsh elfu 80 Dumelang
Yan bei ya kioo ni kama unanunua tu TV mpya. Kuna TV nilinunua 450,000. Ilipopasuka kioo bei 370,000/ tofauti Tsh elfu 80 Dumelang