DISPLAY SCREEN YA LAPTOP HAIWAKI

DISPLAY SCREEN YA LAPTOP HAIWAKI

Idrisa1510

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
271
Reaction score
416
Ninatumia laptop aina ya Lenovo T440p. Nimeiwasha inaonyesha kua imewaka lakin screen imegoma Ku display (kuwaka).
Mwenye shortcut ya namna ya kufix hili tatizo anisaidie tafadhali.
1546664491699.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninatumia laptop aina ya Lenovo T440p. Nimeiwasha inaonyesha kua imewaka lakin screen imegoma Ku display (kuwaka).
Mwenye shortcut ya namna ya kufix hili tatizo anisaidie tafadhali.View attachment 986379

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuchukua monitor ya nje na connect kwa vga then washa mashine kama bado kuna tatizo Badili kioo, hicho kioo ni slim vipo vingi tuu. tatizo likiendelea Video card itakuwa imezingua Tafuta Fundi Aichome ila haita kaa sana kabla ya kufa kabisa.
 
Ninatumia laptop aina ya Lenovo T440p. Nimeiwasha inaonyesha kua imewaka lakin screen imegoma Ku display (kuwaka).
Mwenye shortcut ya namna ya kufix hili tatizo anisaidie tafadhali.View attachment 986379

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi lenovo G50 imekufa. Nilinunua mpya kabisa, baada ya mwaka wa waranty kuisha ikafanya hivyo.

Nikaambiwa imekufa video card (sijui ndio graphics). Fundi kajaribu kuchoma bila mafanikio. Labda ndio ugonjwa wake.
 
Yangu imepona, nimchezo mdogo umefanyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi lenovo G50 imekufa. Nilinunua mpya kabisa, baada ya mwaka wa waranty kuisha ikafanya hivyo.

Nikaambiwa imekufa video card (sijui ndio graphics). Fundi kajaribu kuchoma bila mafanikio. Labda ndio ugonjwa wake.
hio inaonekana iliungua GPU
 
WAMEFANYAJE?
1.Discconect laptop yako kama iko connected kwenye charging system.

2.TOA battery.

3.Bonyeza power button ( batani yakuwashia pc hiyo Kwa dakika moja)

4.Rudisha battery.

5.Connect to the power supply (iweke iingize chaji Kwa sekunde walau kumi).

6. Iwashe na screen itawaka bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom