Dishes settings

shababi

Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
15
Reaction score
1
wakuu naombeni msaada nawezaje kuseti receiver kwenye dish ambalo lishakuwa installed tayari, i mean nataka kuongeza receiver ya pili kwenye dish lenye receiver nyingine tayari?
 
wakuu naombeni msaada nawezaje kuseti receiver kwenye dish ambalo lishakuwa installed tayari, i mean nataka kuongeza receiver ya pili kwenye dish lenye receiver nyingine tayari?

chomeka incha 1 ya cable kwenye rcva iliyounganishwa kwenye ungo(tumia shimo la lnb/loop out) na incha iliyobaki chomeka kwenye rcva ya pili(secondary rcva) kwenye shimo la lnb in. Mwisho set rcv ifanane na rcva uliyounganisha 1kwa1 na ungo.ukishindwa hiyo ntakuambia njia nyingine ambayo itakugharim kidogo kwan itakulazimu kununua v2 fulani
 
ni v2 gani ivo mkuu, nimeshaunganisha rcva zote, so how can i set rcve ya pili? au unamanisha sat, frequency na setting nyinginezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…