Dish gani zuri na bora!

Azam Tv inaweza kamata huku Marasibora Rorya?
Kinapatikana wapi?

hawa jamaa mkuu wanapatikana dunia nzima,hadi huko mongolia,wanatumia mfumo wa satelite hawa ambao kimsingi hauchagui mahali ulipo
 
Azam tv ndio bora.Salio likikata unaendelea kupata channel za bure kibao za Kenya,Uganda na Bongo zinazopatikana kwenye Azam TV.
Customer care yao ni Supadupa pia.

MTAZAMO Azam ARUSHA wako wapi?
 
Last edited by a moderator:
wakuu king'amuz cha azam ni chanel ngap ambazo ni free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…