Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Issa sio Yesu mkuu usituchanganyie habariYesu Kristo au nabii Issa aliwai sema kabla ya wakati wa kuja kwake kutatokea misukosuko na mambo kama hayo. .
Watajitahidi sana lakini bado mabadiliko ni mpango wa Mungu. Mkono wa shetani hautakuwa na nafasi maana sauti ya wengi ilisemwa na wajuvi wa mambo kuwa ni sauti ya Mungu. Mungu akiwa upande wa wengi, shetani anakuwa upande wa wachache wasio penda kufanya yanayo wapendeza wengi.
Mipango wa Mungu gani?
Bila shaka kwenye vichwa vya magazeti tajwa hapo juu kesho ni mwendo wa propaganda tu juu ya Dr Slaa na Chadema.
Tujiandae kisaikojia kusikia vichwa vya habari vikisema "Slaa kutumuliwa chadema kwa maandamano", "Bavicha kwa chafuka, wataka Slaa ang'olewe", "Chadema hali si shwari, vijana wataka Slaa ang'olewe"
Kwa kuwa magazeti hayo tajwa yamekaa kipropaganda kwa lengo la kuendelea kutumika kwa mpango maalumu nimeona niwaze ya leo maana ikimpendeza Mungu tutayaona ya kesho na hata kesho kutwa.
Yatacheza ngoma ya kitoto ambayo ambayo mara zote huwa haikeshi.
mipango wa mungu gani?

Mkuu Majanikv
"Msemo wa vijana ni kizazi cha mbwa" duh mkali sana.
Ccm wanatumia vyombo vya habari visivyo makini kuwalisha watanzania uharamia wa habari. Inasikitisha sana kuwa na serikali inayorubuni wananchi wake kwa kutumia vyombo vya habari. Ile tbc1 ndio kabisa imekuwa kama ofisi ndogo ya chama.
Watafanya sana propaganda lakini hawata kaa salama kuelekea 2015, nafsi zao zitawasuta sana na watakufa kwa presha kwa dhambi zao.
- Duh! kwanza mlianza kurushiana viti wenyewe kwa wenyewe huko MWanza na Musoma, Mkaanza kukatana majina ya kina Zitto wasigombee Uenyekiti wenu, Mkaanza kutimuana huko kwenye matawi yenu ya Ulaya, sasa mnataka kuingilia mpaka uhuru wa magazeti, siyekubali wimbo wa Slaa wa kumukubali na kadi yake ya CCM basi hafai!!
- Wallahi nyinyin mnazidi kujenga hoja nzito sana kwa jamiii kwamba hamufai kupewa uongozi wa Taifa, yaani nyinyi kila mtu ni mchawi ila sio nyinyi wenyewe? sometimes mjiangalie wenyewe kwa wenyewe jamani, mkianza kushambulia mpaka magazeti sasa mnakuwa Crying Babies!!
Es!