Elections 2010 discussion

jet jabir sas

New Member
Oct 7, 2010
2
0
je, wana jf mnafikiri ni kwanini uchaguzi wa 2010 umeingiliwana utitiri wa wagombea hususan katika nafasi ya kiti cha urais?
 
Binafsi naona km wengi wameguswa na jinsi nchi yetu inavyotafunwa na mafisadi, tatizo langu ni competence kwa utitiri wa wagombea waliojitokeza pamoja na kutojiandaa. Mathalan mgombea wa kiti cha urais kushindwa kumpa hata mzazi wake elimu ya uraia pengine hata tu kujua mwanae anagombea urais kupitia chama gani? je,kweli huyu amejipanga?naomba majibu wadau.
 
Baadhi wapo kuwania kiti cha urais (CHADEMA NA CCM), wengine wanaimarisha vyama (CUF, NCCR na TLP). Wengine wapo kwa maslahi ya CCM. All in all hiyo ndio Demokrasi. Wengi au wachache si tatizo.
 
kikubwa kila mtu anataka mabadiliko tumechoka kuongozwa na mbayuwayu
 
Back
Top Bottom