JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
good! wahi shule
Men: will you allow a woman to help you Put on a Condom?
Tell us Why?
@Rich woman mbona swali liko open sana! Binafsi mimi Ningependa sana nimsaidie Mpenzi wangu kwa sababu zifuatazo
1. Niwe na uhakika ile Condom imefit vizuri
2. Unaweza kuta jamaa ameamua kulazimisha ndoa ya mapema akataka kukupa mimba so anaitoboa kidogo
3. Its some sort of stimulating him I gues
ha ha ha ha ha ha nina utafuta u mama teri kwa nguvu.
Bila shaka.Kuvishwa inazidisha hamu na utamu zaidi na kunalinda ukakamavu wa dudu maradufu. Nikijivisha mwenyewe dudu hupungua ukakamavu tofauti na ukakamavu wa nikivishwa!!!:A S 11:
Fikiria umeopoa changudoa anataka kukuvisha utakubali? Maana ni moja ya huduma kwa mteja. Swali je amevisha wangapi?
Haijalishi changudoa au chakodoti.
Swali la pili N/A.
Kavisha wangapi hilo ni kati ya mengineyo,na limekaa kibinafsi (personal) zaidi.Usipindishe na kulijustify swali kivingine.Changudoa anavisha hata 10 kwa siku