Discussion 18+

hahahahahaha haya bana.

Mi nadhani ni kwa ajili ya kujikinga na magonjwa pamoja na unplanned pregnancy.
unaposex na mtu kwa kutumia condmu ina maana unajua ni mgonjwa sio? kwanini sasa u duu na mgonjwa? kwa nini ucheze kwenye mdomo wa mamba?
 
unaposex na mtu kwa kutumia condmu ina maana unajua ni mgonjwa sio? kwanini sasa u duu na mgonjwa? kwa nini ucheze kwenye mdomo wa mamba?

Tunavaa viatu in case tukikanyaga miba isituchome. Na hatuvai viatu ili tupite juu ya miba.
 
Men: will you allow a woman to help you Put on a Condom?

Tell us Why?


Wemen: Will you help you partner put on a condom? Tell us why?

Mods. I dont think whether this should go to that Southern Forum. It is a healthy Discussion.

Hiyo ni kawaida sana tu, inategemea na culture ya maeneo unayoishi, tumeisha valishwa sana tu.
Kwa enzi zile za uhuni, mama ntilie wa huku walikuwa hawakubali uvae mwenyewe lazima akuvalishe aliyokuja nayo kwa sababu hakuamini. Na mimi nilikuwa sikubali anivalishe yake kwa sababu simuamini. Basi solution ikawa ananivalisha yake na mimi navaa yangu juu yake kwa hiyo zinakuwa mbili.

 
hapa tunazungumzia mambo ya mwili
tendo la ndoa ni uumbaji toka kwa Mungu! lifanyike kama lilivoumbwa

Hata nywele ni uumbaji kutoka kwa Mungu, basi na ziachwe kama zilivyo
 
Aisee siwezi ruhusu ...maana kile kitendo cha kunishika tu dushlele na kuliminya minya kinaweza fanya nimalize hapo hapo
 
unaposex na mtu kwa kutumia condmu ina maana unajua ni mgonjwa sio? kwanini sasa u duu na mgonjwa? kwa nini ucheze kwenye mdomo wa mamba?

sidhani kama kuna mtu mjinga kiasi hicho.

unapotumia condom ni kwamba hujui kama huyo
unaefanyanae mapenzi ana magonjwa ama La.
Ndio maana ya kujikinga.

Na haya magonjwa ya zinaa hayapimwi kwa macho. So ni vigumu sana
kujua na mzima nani si mzima. Ndio maana ya condom.
 
hapo red kwa nini usifanye na ambae una uhakika nae? ni ngumu saaana kupata uhakika wa mtu?
 
hapo red kwa nini usifanye na ambae una uhakika nae? ni ngumu saaana kupata uhakika wa mtu?

Huwezi kuwa na uhakika na mtu yeyeyote yule ambae hukwenda nae kupima.

MI na sisitiza condom ajili ya watu ambao wanakutana na watu na moja kwa moja
wanataka kukutana kimwili.

Tukisema waache kabisa kufanya mapenzi hapo tunadanganyana.
Tukisema subiri mpaka mpime hapo uongo mwingi.
Halafu kumbuka kuna wanafunzi hata watu wazima wanaopenda
kujirusha na ku kutana "One night stand" hapo na sisitiza condom.
 
kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo

Smile nakuunga mkono sana kwa hili....asilimia kubwa ya watu hawatumii condom....condom huwa inakumbukwaga baada ya shughuli....mimi zamani ilishanitokeaga sana, mpaka nikawa sinunui kabisa maana ni kupoteza pesa tu. Naingia na condom chumbani alafu nakumbuka wakati najisachi kutoa pesa ya kulipia chumba maana zinakua ziko mfukoni.
Hii kitu tamu ikiliwa kavu bwana askuambie mtu...ndo maana hamna mwanamke au mwanaume atastop kutia ndom ikipasuka...sana sana spidi ndo inaongezeka na ikipasuka tu mdada anakua kama anashtukavile na kuguna kwa utamu.
 

Auyo sarikoki this world is not the same play safe budy
 
Last edited by a moderator:
I think the question is.., why shouldn't you ?,
labda mleta uzi utueleze if there is any side effects of doing so.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…