Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Waku habari zenu.
Kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ningependa tutafakari na kujaribu kuchambua hii kauli iliyotolewa na mkuu wa kaya hivi juzi.
" HAIWEZEKANI SERIKAL UKUPE ELIMU BURE, WEWE UNAENDA KUTOA BURE MWILI WAKO "
Kwa wale waliopita chuo na kubahatika kupitia course ya critical thinking. Huwa kuna njia mbadala za kutambua Sentensi kama inamaana au haina maana. Yani "logical Validity and Soundness of an argument "
Hata hivyo si mpaka uende shule ndyo utaweza elewa kama statement au argument inamaana logically au ni upuuzi.
Kama una hekima na busara unaweza chambua huu ujumbe na kuuelewa kama unamaana au hauna.
Swali langu ni kuwa kama hii sentensi inamaana, je watoto wetu miili yao waifanyie biashara?