Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Niliwahi sikia sababu kubwa ya hii kutu ni chumvi inayomwagwa huko wakati wa baridi ili kuizuia barafu isigande barabarani, jee hili lina ukweli?
Ni kweli mkuu lakini kuanzia matolea mapya 2020 na kuendelea nadhani walibadili now wanakupa lifetime warrant kwa ajili ya kutu. Dawa ya hizi gari usikae nayo zaidi ya miaka 6 au kupitisha ile warrant yao ya 80,000km. Uzuri wa kwa Biden unatrade-in unavyotaka. Kama mdau mmoja alivyosema hapo juu matengenezo ndio mtihani na lazima uende kwa dealer wao, kubadili oil tu zaidi ya dollar 300😀 na lazima uweke Castrol
 
Niliwahi sikia sababu kubwa ya hii kutu ni chumvi inayomwagwa huko wakati wa baridi ili kuizuia barafu isigande barabarani, jee hili lina ukweli?
Ni sahihi kabisaa pia kutokana na mazingira Yao ya kuzungukwa na bahari inasababisha mvuke WA chumvi ya baharini kusambaa kwenye magari na vitu vingine.
Hata hiyo barafu inakuwa na chumvi chumvi ndiyo maana inakuwa rahisi kupenya kwenye engine na kisababaisha uchakavu mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…